Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Naifahamu vizuri sana!Thatcher unafahamu history yake huko baharini?
We jamaa Wewe?!!!
Uharamia wa Meli 😄😄😄Naifahamu vizuri sana!
Unataka nikwambie kitu gani kuhusu yeye?
Mlamba miguu ya wakubwa . Hata ujinga mnasifia tuSikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli...
wapi, ndio angemshukia kidedea Ndugai namna ile. sema taasisi yake ndio huwa inasawazisha kama wewe ufanyavyo ss.Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli...
Hapo ndo tofauti yenu na mimi ilipo na hapa ndo nia zenu ovu zinapothibitika. Mnawaza udini ndo mana wakristo wenzenu wenye akili timamu tusioendeshwa na mihemko tumewakataa.Huna ukatoliki wowote we nguchiro... wapeni misikiti DP World maana viwanja na majumba vyote mmeuza kwa bei ya kutupa!!
Ila Maaskofu wamekuchanganya sana Mkuu.Maaskofu wameaindikia serikali na si msikiti.Kuna nini nyuma ya pazia?Leo nakuona unapambana kishenzi yaani kila uzi upo.Kumbe shida yako ni uislamu. Sasa kwa taarifa yako mimi ni mkristo na mkatoliki na naunga mkono mkataba wa Tanzania na Dubai
Ndugai alienda kinyume na miiko ya Viongozi wa CCM. Alihukumiwa kwa mujibu wa miiko ya ndani ya CCM sio kwa matakwa ya Samia.wapi, ndio angemshukia kidedea Ndugai namna ile. sema taasisi yake ndio huwa inasawazisha kama wewe ufanyavyo ss.
Umeanza kunifahamu lini? Kama ndo umenifahamu sasa basi karibu JF.Ila Maaskofu wamekuchanganya sana Mkuu.Maaskofu wameaindikia serikali na si msikiti.Kuna nini nyuma ya pazia?Leo nakuona unapambana kishenzi yaani kila uzi upo...
Kwanza mambo gani hayaendi sawa?Hivi unajua hii sio Monarchy...; Na hakuna mtu mmoja mwenye akili / uwezo na mamlaka kwa watu wote ?
Kwahio nchi inaendeshwa kwa Kanuni na Social Contract baina ya wenye nchi (wananchi) na waliopewa dhamana ya kusimamia mali za hao wananchi...
Kwa vile wananchi wengi tupo upande wa serikali, basi raisi hawezi kuwa na hofu kuhusu mikwara ya waandika barua za mipasho kupitia kichaka cha dini.Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli...
Sihitaji kukufahamu,nimekupa angalizo.Mkatoliki mwenzanguUmeanza kunifahamu lini? Kama ndo umenifahamu sasa basi karibu JF.
Nipo hapa tangu mwaka 2010. Nilikuwa na ID ambayo niliacha kuitumia mwezi Juni 2015 na ndipo nikawa na ID hii.
Nilimpinga sana Magufuli hapa na sasa napinga sana wapotoshaji hapa.
Wakristo wa aina yako ni hasara huenda ni pretender wewe.Kumbe shida yako ni uislamu. Sasa kwa taarifa yako mimi ni mkristo na mkatoliki na naunga mkono mkataba wa Tanzania na Dubai
Na hii ndo sifa kuu ya kiongozi ni kuwa bold na firm kwenye mambo ya msingi haya ya kimaendeleo maana siku ya mwisho unahukumiwa kwa matokeo ya maamuzi yako!Kwa vile wananchi wengi tupo upande wa serikali, basi raisi hawezi kuwa na hofu kuhusu mikwara ya waandika barua za mipasho kupitia kichaka cha dini.
Hili litapita na mkataba utaendelea kama kawaida... Trust me 🤞
Ni pretend ili iweje?Wakristo wa aina yako ni hasara huenda ni pretender wewe.
Hivi ni nani alimpa nguvu za KiSerikali mtoto wa Rais na Ujumbe wake Uganda?Sikuwahi kumfahamu vizuri kabla ya Bunge la Katiba.
Ila wakati wa Bunge la Katiba kuna muda alikuwa anachair vikao kipindi kile kina Tundu Antipass Lissu wana mchecheto kweli...
Wapi imesemwa alienda kuiwakilisha Serikali?Hivi ni nani alimpa nguvu za KiSerikali mtoto wa Rais na Ujumbe wake Uganda?
....ni nani kama siye Amri Jeshi mkuu anayetuma Jeshi kuangamiza kabila la Wamasai Ngorongoro?
....ni nani aliyesema Mbowe ana kesi ya Ugaidi mbele ya vyombo vya habari vya nje?