Sina kilevi, nichagulie

Hujasema Kuwa wewe siyo Mshirikina (huamini uchawi) kwa hiyo nimeanza kuhisi utakuwa hapo kwa sangoma
 
Huyu kijana wetu anatatizo kubwa kwa kweli? Mama yangu akimwona kijana wa kiume hatumii pombe wala bangi anamwonaga kama ni mwizi mwizi🤔
Na watumiaji wa hivyo vilevi nao wanaonekana kama wezi wezi🤣

Ila shindii ujue mwaka ndio umeshafika nusu!! Unakumbuka?
 
Naunga mkono hoja. Unachovutiwa nacho ni kitu sahihi.
 
Shindiii naachaje kukumbuka , nakumbuka sana shindiii, leo nimebanwa na mafua naona niyazibue na vodka hapa
Kwani unakosaga sababu ya kulewa shindii🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…