Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,220
- 6,528
Piga NyagiSio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Kama Bange, apige Bange na watu wanaojielewa please!Bangi haina shida.
Fanya ulozi mixer mjaniSio mtu wa wanawake
Sio mtu wa betting
Sio mlevi
Sio mvuta bangi
Sio mtoka out
Sio mtu dini saana
Sio mtu wa kupenda starehe
Sio mtu wa makundi na vishawishi
Sio mtu wa kununua Malaya
Sio mtu wa kuvuta mirungi Wala sigara
Yani nimenyooka tatizo ni kwamba Kuna muda napitia changamoto sijui nitumie njia gani kutafuta suluhisho Naona inaweza kuleta madhara kwa upande wa afya ya akili.
Naanza kuvutiwa na uvutaji wa bangi
Sana atakua kama mimi shindiiVuta bangi, utanishukuru.
Ndio Nini hii mkuu naomba maelekezoFanya ulozi mixer mjani
Ubaki hivyohivyo ili ukatuandalie makao ya milele mkuu.Sio mtu wa wanawake