jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 995
habarini za leo ndugu zangu!
PESA INA MAJINA MENGI!
kwenye ibada inaitwa sadaka,
msibani inaitwa rambi rambi,
shuleni inaitwa ada au karo,
kwenye vyombo vya usafiri inaitwa nauli,
ukinunulia haki inaitwa rushwa,
kumdhaminia mtu mahakamani inaitwa dhamana,
Je, PESA inayohongwa kwa mpenzi au nyumba ndogo INAITWAJE?
tusaidiane wakuu karibuni!