Sina imani naye tena

Sina imani naye tena

b da best

Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
34
Reaction score
7
Tumekuwa pamoja kwa muda sasa. Nikijaribu kumsoma na kuona ndie anaenifaa lkn tatizo linakuja pale ambapo nimejaribu kujua juu ya uhusiano wake wa zamani. Sababu zilizopelekea kuachana na vitu la izo.

Yeye anaenda kusoma chuo nje ya Nchi, cha kushangaza mapenzi yamekuwa matamu Sana kwake.

Moja ya sababu alizonipa kuhusu kuchana na mpenzi wake wa zaman ni umbali mmoja yuko Malaysia na mwingine bongo.

Najaribu kutafakari naona Kama the same thing will happen to me.

Na ni kawa nimepigwa chenga la macho.

Nahisi kudanganywa sina imani naye, nifanyeje?
 
Inaonesha ungali mdogo wewe ndio maana umeshindwa hata kudiskasi haya unayotuambia na huyo mpenzi wako...
 
Haya unayotuambia, wazazi wako wanayajua?
 
unahisi the same thing will happen to you! Sasa unapoteza iman kwa sababu ya kuhisi? What if your thoughts are not true
 
b da best zungumza hofu yako na huyo mpenzi wako mwambie kila kitu usimfiche. Watu wanabadilika..
 
Last edited by a moderator:
Tumekuwa pamoja kwa muda sasa. Nikijaribu kumsoma na kuona ndie anaenifaa lkn tatizo linakuja pale ambapo nimejaribu kujua juu ya uhusiano wake wa zamani. Sababu zilizopelekea kuachana na vitu la izo.
Yy anaenda kusoma chuo nje ya Nchi, cha kushangaza mapenzi yamekuwa matamu Sana kwake.
Moja ya sababu alizonipa kuhusu kuchana na mpenzi wake wa zaman ni umbali mmoja yuko Malaysia na mwingine bongo.
Najaribu kutafakari naona Kama the same thing will happen to me. Na ni kawa nimepigwa chenga la macho,

Nahisi kudanganywa sina imani naye, nifanyeje..?

Dogo, si ungemuuliza tu huyu mpenzi wako kuwa amejipangaje kwa sasa kuhakikisha kuwa akiwa mbali na wewe huko masomoni mapenzi yenu yatadumu na hayatatokea kama yalivyomkuta mwenzio aliyekutangulia?

Ila kwa maelezo yako, na kama kweli sababu aliyotoa huyo mpenzi wako ni halisi, basi ni kwamba huenda mpenzi wako hana uvumilivu wa kuishi na mpenzi wake akiwa mbali naye na hivyo unaweza kujifunza kwa usemi usemao mwezako akinyolewa, wewe tia maji!!!
 
bora akuache, mana we mwenyew uko mbali kiakili!! unaanzaje kumulza background yake mpz wako.... we ulvyokuta endeleza, ukishindwa achaa!!
 
wabheja sana...nlimuhadithia the so called my baby past yangu yani NAJUTRAAAAAAAAAA...
 
uongo ni mbaya, ila ukitumika kwa faida unauzuri wake...usiwe unasema kweli kila kitu
 
Tumekuwa pamoja kwa muda sasa. Nikijaribu kumsoma na kuona ndie anaenifaa lkn tatizo linakuja pale ambapo nimejaribu kujua juu ya uhusiano wake wa zamani. Sababu zilizopelekea kuachana na vitu la izo.

Yeye anaenda kusoma chuo nje ya Nchi, cha kushangaza mapenzi yamekuwa matamu Sana kwake.

Moja ya sababu alizonipa kuhusu kuchana na mpenzi wake wa zaman ni umbali mmoja yuko Malaysia na mwingine bongo.

Najaribu kutafakari naona Kama the same thing will happen to me.

Na ni kawa nimepigwa chenga la macho.

Nahisi kudanganywa sina imani naye, nifanyeje?

Ikiwa traditional relationship imekupa mitihani basi long distance relationship itakupa wazimu. Mapenzi yana raha, lakini huyadhibiti kwake ni karaha! Being loved is easy, but loving is painful.

Kuna vitu kwenye relationship unatakiwa usifanye na wewe unaonekana unafanya tena kwa kasi kubwa! Once ukianza relationship unatakiwa uanze chapter mpya na uachane na ya zamani, kwa upande wake yeye na wa kwako wewe. Tuseme umefanya abortion katika past relationship na unafanya siri. Je, na yeye apekue kusaka ukweli? Je, na wewe hupaswi kuwa na stable relationship kwa vile una past yenye utata?

As long as he does what he's supposed to do properly then it should not matter how he lived his life with his former girlfriend.

Be sensible! Good luck!

ON A SEPARATE NOTE: Ingekuwa wewe ndio umekwenda kusoma nje ya yeye ndio yupo nchini. Ungetaka aamue vipi?
 
Tumekuwa pamoja kwa muda sasa. Nikijaribu kumsoma na kuona ndie anaenifaa lkn tatizo linakuja pale ambapo nimejaribu kujua juu ya uhusiano wake wa zamani. Sababu zilizopelekea kuachana na vitu la izo.

Yeye anaenda kusoma chuo nje ya Nchi, cha kushangaza mapenzi yamekuwa matamu Sana kwake.

Moja ya sababu alizonipa kuhusu kuchana na mpenzi wake wa zaman ni umbali mmoja yuko Malaysia na mwingine bongo.

Najaribu kutafakari naona Kama the same thing will happen to me.

Na ni kawa nimepigwa chenga la macho.

Nahisi kudanganywa sina imani naye, nifanyeje?

Jino la pembeni, si dawa ya pengo😛eep:
 
Back
Top Bottom