BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
badala yakumwambia muende angazakupima, unamwambia akupe historia yake?
Nahisi kudanganywa sina imani naye, nifanyeje?
wabheja sana...nlimuhadithia the so called my baby past yangu yani NAJUTRAAAAAAAAAA...
Unaandika utafikiri una tumbo la kipindupindu. Tulia uandike kitu kinachoeleweka.