kama mdau na shabiki wa yanga nmeanza kukosa imani na kocha maximo kutokana na misimamo yake ambayo mi naiita ya ajabu maana nahisi kama anawatenga wchezaji fulani nakuwapa kipaumbele badhi ya wachezaji pasipo kujali na kuangalia michango yao katika timu ya yanga....kumekuwa na stori nyingi nikizisikia na kuzisoma katika vyombo mbalimbali vya habari mara :
a/ Haruna niyonzima analalamika sa hivi hana furaha yanga baada ya ujio wa huyu kocha mekuwa akimfanyia sub pasipo kuambiwa kama mevurunga ama kiwango kimeshuka ili ajirekebishe. na binafsi mimi mra nyingi huwa sikubaliani na sub anazofanya maximo kwa baadhi ya wachezaj na wengine kuwaingiza mda ukiwa unaelekea ukingon na hali ya timu ikiwa taaban
b/kunatetesi kwamba maximo ameacha maagizo kwa uongozi kuhusu kumtema Hamisi kiiza lakini nasikia uongozi wa yanga haujaafikiana na hilo pendekezo lake...binafsi nmekuwa nikijiuliza hivi wakuachwa atakuwa kiiza badala ya jaja ambaye katika mechi 7 amefunga bao 1 akizidiwa na tegete aliyecheza dk zisizo zidi 20 na kufunga mbilisijui anataka kutuaminisha nini huyu kocha kwamba jaja ni mzuri kuliko kiiza? mtu mwenyewe anasubiri mpaka mpira umkute miguuni na akikutana na mabekiwanaojua shughuli yao anakuwa hana jipya hivyo kuifanya timu iwe inacheza kama iko pungufu
c/ mfumo anaoutumia ndo siuelei kabisa eti wa kuweka mshambuliaji mmoja mbele tena mshambuliaji mwenyewe ndo huyo jaja wake asiyeweza hata kukimbilia mpira..sasa nabaki nikishangaa , maximo anaogopa nini hadi acheze kwa kujilinda zaidi kuliko kushambulia? ukiangalia anatimu yenye wachezaji wazuri zaidi, ana mawinga wenye kasi, anaviungo walio kwenye ubora mzuri kabisa, anamabeki tegemwea hadi kwenye timu ya taifa lakini kila mechi tumekuwa tukiruhusu bao ukiachilia mbali tuliyotoa droo na mikia na ile ya mgambo lakin mambo yamekuwa magumu timu imekuwa ikicheza kwa kiwango kisichoridhisha na ushindi umekuwa ukipatikana kwa mbinde hasa
d/.kwa tabia yake ya kupendelea baadhi ya wachezaji hata wasio na viwango hususani yule mtoto wa binamu yake anayechezaa pale mbele anajikuta anawatengenezea mazingira magumu ndani ya timu kwa kuchukiwa na wachezaji wenzao ndani ya timu hata kunyimwa pasi za kufunga wanapokuwa uwanjani..inabidi maximo awe fair pasipo kuangalia nanni anamjua na nani hamjui, nani katoka wapi na yule katoka wapi apange timu kulingana na viwango vya wachezaji pasipo kuangalia rangi, taifa wala kabila..pia aangalie sub anazofanya ziwe na manufaa kwa timu sio kufanya sub kwa mazoea..
d/ kwa mtazamo huo hapo juu naona mambo yakawa magumu zaidi huko mbele pale ligi itakapoanza kuchanganya kabisa maana kila timu itakuwa ngangari hakutakuwa na timu ndogo wala kubwa zingine zikiwania ubingwa, zingine zikiwania kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi ngumu zaidi nizile zitakazokuwa zinaitwa vibonde zikipigana kwa nguvu zote kutoshuka daraja na kubaki ligi kuu
NB..naushaur uongozi ukaenaye chini umshaur mambo muhim ya kiufundi ndani ya timu asiendelee kung'ang'ania misimamo yake hata kama haina faida ndani ya timu vinginevyo ataleta mpasuko baina ya wachezaji na moyo wa kucheza kwa kujituma na kujitolea miongoni mwa wachezaji utatoweka na timu itajikuta ikifanya vibaya.....................mwisho kabisa naiombea mema YOUNG AFRIKA(YANGA)
MUNGU ibariki YOUNG AFRIKA, Mungu wabariki wana YANGA.......DAIMA MBELE NYUMA MWIKO