Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
Matale, yaan hao Azam wana Mihela lakn tmu ya kbongo xaana.. TCHETCHE NA LIONEL na sureboy ndo wameibeba Azam
Mtoe huyo leonel mweke kavugoals
Matale, yaan hao Azam wana Mihela lakn tmu ya kbongo xaana.. TCHETCHE NA LIONEL na sureboy ndo wameibeba Azam
acha tumpe mda kama ambavyo huwa tunadanganywa kwa makocha wa timu ya taifa huku miaka ikizid kusonga na wenzetu wakizid kupeta tuwabongo nanyi kwa majungu tumewachoka,aliifundisha taifa starz mkachonga xana leo kaja yanga mnajifanya wajuaji acheni majungu wabongo mpira wa kubeti co wa kufundisha.pumbaavuuu!
Sasa jaja amebwaga manyanga... eti maximo amesema aneleta kiungo kabaji kutoka hukohuko tena! daah!! tumekwama mwaka huu..
hivi yanga hatuna viungo kweli badala akomae kupata mshambuliaji wa ukweli yeye anazidi kutulundikia viungo ilihali hatuna mshambuliaji wa kutumainiwaSasa jaja amebwaga manyanga... eti maximo amesema aneleta kiungo kabaji kutoka hukohuko tena! daah!! tumekwama mwaka huu..
hivi yanga hatuna viungo kweli badala akomae kupata mshambuliaji wa ukweli yeye anazidi kutulundikia viungo ilihali hatuna mshambuliaji wa kutumainiwa