'sina imani na jaji'-dr kafumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'sina imani na jaji'-dr kafumu

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bajabiri, May 19, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa Igunga Dr Kafumu ambaye anawakilishwa na wakili Kanyama amepeleka barua ya kutokua na imani na jaji anaeiendesha kesi hiyo,mbunge huyo amepeleka barua yake kwa kulalamika kuwa jaji Marry anayeiskiliza hiyo kesi ni mkali sana hivyoangeomba abadilishwe,pia anasema jaji amegeuka wakili kwani yeye ndo anawahoji mashahidi wake,amesema kuwa mashahidi wake wanahofia kutoa ushahidi,
  hata hivyo jaji marry amepinga madai hayo na kusema hayana msini na kesi itaendelea tarehe 21 may kama kawaida.
  Sosi;rfa matukio
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2

  Sosi;rfa matukio .......
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 987
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ushauri wa bure kwa DR Kafumu - Jaribu lile jopo 'lililopinga Mgombea binafsi' Tanzania
   
Loading...