sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,168
Pole sana kaka, but try to learn to love.Habari ya wakati huu wana Jamie forum
Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);
1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.
2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.
3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.
4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.
5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.
Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.
NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.
Nakaribisha ushauri...ni serious case
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize ulimpendea nini before hujamuoa.
Hiyo huwa inatokea tu, mara nyingi kama ukiisha anza kuwa mwanamke wa nje ya ndoa.
Ndo maana Mungu anakataza uasherati na uzinzi, kwa sababu ukiishazionja mbunye za wanawake wengine unaweza kumuathiri huyu uliyenaye ambaye naye anakutegemea wewe kimapenzi.
Just stay calm for a, while. Usim harass mkeo endelea kujifunza kumpenda na madhaifu yake, baada ya muda kupita utashangaa unzaanza kumuona mzuri tena.
Ni kipindi kigumu sana cha wanandoa hiki cha miaka miwili, ndo hapa ndoa huanzia matatizo, lakini ukipavuka hapa bila mikwaruzo hamtaachana tena.
Labda nikushauri kitu kingine japo sio kizuri.
Kama una demu nje, endelea kula kimya kimya mkeo asijue hadi hilo tatizo lako lipite.
Njoo PM nikushauri zaidi, nimechoka kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app