Habari ya wakati huu wana Jamie forum
Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);
1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.
2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.
3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.
4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.
5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.
Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.
NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.
Nakaribisha ushauri...ni serious case
Sent using
Jamii Forums mobile app