Sina hisia na mwandani wangu

Sina hisia na mwandani wangu

Ni mvivu balaaa. Kuna kipindi alisumbuliwa na goti, Dr akashauri kuwa kwa kuwa ana uzito uliozidi na magoti yana acid nyingi, ikashauriwa kuwa apunguze vitu vya mafuta na uchachu. Pia aanze mazoezi mepesi ya kutoka jasho kwa ajili ya ku boost metabolism. HADI LEO HII NOTHING HAS BEEN DONE, PAMOJA NA KUMSISITIZA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Shirikiana nae
Ni mvivu balaaa. Kuna kipindi alisumbuliwa na goti, Dr akashauri kuwa kwa kuwa ana uzito uliozidi na magoti yana acid nyingi, ikashauriwa kuwa apunguze vitu vya mafuta na uchachu. Pia aanze mazoezi mepesi ya kutoka jasho kwa ajili ya ku boost metabolism. HADI LEO HII NOTHING HAS BEEN DONE, PAMOJA NA KUMSISITIZA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usimnyanyapae haitasaidia. Pole sana ila jikaze ndio mkeo huyo!
 
Habari ya wakati huu wana Jamie forum

Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia fulani hv ambavyo vimesababisha kupunguza mapenzi kwake, na kusababisha kutokuwa na intimacy nae. Lkn sio hivyo tu, hanivutii kabisa kwa sasa kutokana na mtiririko wa vituko vilivyozidi vya ndani ya ndoa. Vituko hivyo ni km ifuatavyo(kwa ufupi);

1. Ni mwanamke mchafu,na asiependa kurekebishwa,yaaani ukimwambia kitu cha kumrekebisha anaona km unamuonea.

2. Ni mvivu wa fikra za maendeleo, ukimshauri kuhusu maendeleo analeta vitu vingine kabisa.

3. Yuko na matumizi makubwa yasiyo na maana , kiasi ambacho unaifkiria mara 2 , kwa nn umeoa.

4. Cha ajabu kitandani si riziki nae kabisa, she z too heavy to handle.

5. N.a. mengine mengineyo, kiasi ambacho sitamani hata kurudi home mapema kwa kuwa ni vitu vingi vinanikera kutoka kwake.


Naombeni ushauri juu ya hili. I don't enjoy life kabisa kwa kuwa nae huyu kiumbe.

NB: km hujawah kuishi na mtu au hujaoa/ kuolewa ni bora upite tu, usicomment.


Nakaribisha ushauri...ni serious case


Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujamuoa ilikuaje? I mean hukupata muda wa kupima uwezo/mawazo yake kimaendeleo? Na uzito wake kitandani Ni kwamba amebadilika au ni vipi?
Pole sana..ndio maana mimi nakataa wanavyoshauri msikutane kimwili kabla ya ndoa
 
Kuna tabia anafanana na wa kwangu, japo siyo zote. Hasa hapo kwenye kurekebishwa na kuona kama anaonewa... Jitahidi tu. Mimi nimekwenda naye wa kwangu hivyo hivyo. Leo ni miaka 11 imepita. Nitafanyaje wakati niliapa kuwa naye katika shida na raha? Lakini imekuwa miaka ya stress kubwa sana. Yaani hata mambo ya msingi ya common sense anakuwa hayaelewi. Na ukimwelewesha, anakuona kuwa unamwonea! Yaani yeye na watoto wako level moja. Mimi tu ndio mtu mzima katika nyumba. Kwa mfano, katika miaka 11 hiyo nimekuwa nikijaribu kumwelewesha kuwa kusonga ugali ukaiva vizuri kunahitaji maji yachemke to boiling point kwanza lakini ameshindwa kuelewa na kufanya hivyo!
Duh huyo hata kusonga ugali hajui ni shida. Ndo chaguo lako lakini umefanya vizuri kumvumilia
 
Mkuu umeenda sawa na upeo wangu, i also urge vijana wenzangu. Mwanamke wa kuoa kwa zama za sasa hakikisha umeishi nae for not less than 1 and a half year ndani ya kuta 4.

Ndani ya muda huo mwanamke ata awe mnafiki vipi atakuwa ameshakuwa comfortable na wewe kiasi cha kudhihirisha tabia zake halisi kwa asilimia kubwa na pia utakuwa umeshafumbuliwa kama utazimudu ama la! Acheni kukurupuka kisha mnakuja kulalama humu.
Hiyo njia ni nzuri lakini si wote watakubali. Labda awe na wazazi ambao hawana msimamo
 
Ni mvivu balaaa. Kuna kipindi alisumbuliwa na goti, Dr akashauri kuwa kwa kuwa ana uzito uliozidi na magoti yana acid nyingi, ikashauriwa kuwa apunguze vitu vya mafuta na uchachu. Pia aanze mazoezi mepesi ya kutoka jasho kwa ajili ya ku boost metabolism. HADI LEO HII NOTHING HAS BEEN DONE, PAMOJA NA KUMSISITIZA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kwanza rudisha upendo kwake Kama kweli unayo nia ya kuendelea nae. Kuhusu uzito nenda nae taratibu..msaidie ikiwezekana..fanya nae mazoezi. Mweleze wazi kuwa unapenda akipungua uzito.
 
Pole sana kaka, but try to learn to love.
Jiulize ulimpendea nini before hujamuoa.
Hiyo huwa inatokea tu, mara nyingi kama ukiisha anza kuwa mwanamke wa nje ya ndoa.
Ndo maana Mungu anakataza uasherati na uzinzi, kwa sababu ukiishazionja mbunye za wanawake wengine unaweza kumuathiri huyu uliyenaye ambaye naye anakutegemea wewe kimapenzi.
Just stay calm for a, while. Usim harass mkeo endelea kujifunza kumpenda na madhaifu yake, baada ya muda kupita utashangaa unzaanza kumuona mzuri tena.
Ni kipindi kigumu sana cha wanandoa hiki cha miaka miwili, ndo hapa ndoa huanzia matatizo, lakini ukipavuka hapa bila mikwaruzo hamtaachana tena.
Labda nikushauri kitu kingine japo sio kizuri.
Kama una demu nje, endelea kula kimya kimya mkeo asijue hadi hilo tatizo lako lipite.
Njoo PM nikushauri zaidi, nimechoka kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri. Labda nikuulize tu ndugu..huko PM Kuna voice call?
 
Ishu kama hiyo,me nafkilia tena mtu wa hivyo,then uishi nae miaka yako yote...bado nalifkilia kuhusu kuoa aisee
Acha uoga wewe, ingia ucheze mdundiko, ndoa hazifanani
 
Nitakushauri kitu na naomba ukifanyie kazi,
Kwanza mpende mkeo kiuhalisia nae atambue kuwa unampenda na umtamkie kuwa unampenda,
Pili mfanye mtu maalum kwako na atambue hill,
Tatu ongea nae kwa upendo mkiwa wote mna furaha na hapo mwambie vitu ambavyo hupendi na amini atakuelewa kuliko ukimwambia kwa kumkomand,na taratibu atabadilika kwani ataona anapendwa hivyo atakuheshimu kwa kila utakachomwambia,jaribu hilo na pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We all know unachotaka kukifanya.

Stop trying to blame it on your wife. At least have the decency ya kukaa nae chini first na kutafuta suluhisho.

1. Ni mchafu? Have you tried helping her in some of the chores? Ama ukishakupa miguu juu na rimoti?

2. Unampa ushauri wa maendeleo je mtaji umempa?

3.Mzito kitandani? Wameanza leo? Ashinde akicharakika kazi za nyumbani na siku atoke sarakasi sio?

4. Ana matumizi makubwa kama gani labda. Time is changing, everything is changing, vitu vinazidi kupanga bei.

Conclusion. Una lako jambo usisingizie mkeo.
 
Kabla ya ndoa ulipaswa kupata semina/maandalizi ya nini utarajie huko.

Hapo hakuna jipya sana, na usitaraji kupata mwenye tofauti na huyo, hivyo pambana naye mpaka kieleweke.
 
Ndo mpaka uwe Kama yeye. Nilichogundua jinsi umri unavyoenda ndo jinsi ambavyo unahitaji mtu wa karibu.
Ndoa Zina changamoto Sana...mm team ruge aisee kuoa pembeni kwanza unatafta pesa then unatumia kwa watoto wazuri unaweka mbegu uzeeni unachukua Kama kapuya na mengi
 
Back
Top Bottom