Mizinga ndio uwe na watu sasa maana kiukwel inachosha sana.Kwkifupi mpaka sasa nimesha poteza 80% of my company baada ya kuingia kwenye mtikisiko kiuchumi.Mungu mwema jogoo wa alfajir namskia kwa mbaaaaaali akitaka kuwika asubuh ifikeJitie tu kitanzi mkuu ili ukampumzike kwa Mungu Baba Mwenyezi maana huko hakuna kabisa matumizi ya hela. Kama huwezi, basi hakikisha unaongeza bidii ya kupambana kuzitafuta hizo hela ikiwemo kupiga mizinga.
Jiepushe na uvivu na aina yoyote ile ya uzembe. Hakuna nama.
Kukata tamaa ni sumuCha msingi boss hapo ni usikate tamaa.
Hapa mtaani kuna jamaa anaitwa sina hela lakini yupo njema financially yaani ana ukwasiCna dili sina fani
Ila naweza mishe mishe
Nishaurini......:
Wewe umependa mwenyewe. Hujaamua tu.[emoji857]Mkuu...hata Mimi Sina hela yaani.hapa.nipo.nasuka nywele za Buku
Jichanganye na watu mishe zipo nyingi tu ila usikae mwenyewe kinyonge jichanganye na raia upate connectionCna dili sina fani
Ila naweza mishe mishe
Nishaurini......:
Anza utapeliCna dili sina fani
Ila naweza mishe mishe
Nishaurini......:
Unafika huko unashangaa kila kitu hela halafu bei balaa. Hadi pumzi unalipia. Na ukikosa pumzi siyo kwamba unakufa, unapata tu yale mateso ya kukosa pumzi.Jitie tu kitanzi mkuu ili ukampumzike kwa Mungu Baba Mwenyezi maana huko hakuna kabisa matumizi ya hela. Kama huwezi, basi hakikisha unaongeza bidii ya kupambana kuzitafuta hizo hela ikiwemo kupiga mizinga.
Jiepushe na uvivu na aina yoyote ile ya uzembe. Hakuna nama.
HahahaahhahahaahahahaJitie tu kitanzi mkuu ili ukampumzike kwa Mungu Baba Mwenyezi maana huko hakuna kabisa matumizi ya hela. Kama huwezi, basi hakikisha unaongeza bidii ya kupambana kuzitafuta hizo hela ikiwemo kupiga mizinga.
Jiepushe na uvivu na aina yoyote ile ya uzembe. Hakuna nama.