Sina Hamu Ya Tendo La Ndoa.

Kwa hawa mabinti wa sasa??? Unamdanganya mwenzio.... binti lazima atagawa kitumbua kwa wajanja.

Lol inawezekana, mradi awe na hela,mabinti wa siku hizi wanapenda hela kuliko hata hilo tendo lenyewe, ngoja nitype taratibu atoto asisikie
 
Last edited by a moderator:
Lol inawezekana, mradi awe na hela,mabinti wa siku hizi wanapenda hela kuliko hata hilo tendo lenyewe, ngoja nitype taratibu atoto asisikie

Duh umekaita hako kambea..... ngoja nisepe maana hakachelewi kuniharibia.

Hivi kinachopendwa zaidi siyo gegedo? Mbona visista du kibao vinagongwa na madereva wa bodaboda wakati vina maboifrendi zao BOT??
 
Pole Sana kijana, Mi pia nmetendwa Lakini nkipata show napiga mzgo kwa nguvu zote kuondoa stress kwa mda

Nilijaribu sana kuifanya hiyo kazi lakini nilishindwa sababu ya kauli zangu
 
Chukua dafu, kamulia ndimu moja kunywa....fanya hivo kwa wiki moja

Anywe kwa mdomo upi????

Mwenzio naona gegedo limelogwa na madokta wa miti shamba Majaliwa kawapiga kurufuma
 
Duh umekaita hako kambea..... ngoja nisepe maana hakachelewi kuniharibia.

Hivi kinachopendwa zaidi siyo gegedo? Mbona visista du kibao vinagongwa na madereva wa bodaboda wakati vina maboifrendi zao BOT??

Lakini ukimwambia amuache wa BOT ahamishie majeshi kwa wa bodaboda hawezi kubali ila ni rahisi kukubali kumuacha wa bodaboda akabaki na wa BOT bila usaidizi, hapana chezea nguvu ya pesa.
 
Anywe kwa mdomo upi????

Mwenzio naona gegedo limelogwa na madokta wa miti shamba Majaliwa kawapiga kurufuma

tatizo sio gegedo, tatizo ni kumbukumbu mbaya nilizopitia katika mahusiano.. Ninauwezo wa kuwagonga nitakavyo lakini ya nini niwatende watu Wasio na hatia?
 
Dogo inaelekea una majanga sana na hawa wanadamu wa jinsia Ke.
 
Wewe ni mgonjwa na huna budi kuonana na daktari haraka. Hakuna dunia bila MMU!
 
Lakini ukimwambia amuache wa BOT ahamishie majeshi kwa wa bodaboda hawezi kubali ila ni rahisi kukubali kumuacha wa bodaboda akabaki na wa BOT bila usaidizi, hapana chezea nguvu ya pesa.

licha ya kumuacha wa bodaboda lakini akikutana na huduma mbovu za kitandani hurudi kwa bodaboda. Nina uwezo wa kuwa marafiki lakini nitakuwa nampotezee muda wake
 
Lakini ukimwambia amuache wa BOT ahamishie majeshi kwa wa bodaboda hawezi kubali ila ni rahisi kukubali kumuacha wa bodaboda akabaki na wa BOT bila usaidizi, hapana chezea nguvu ya pesa.

Hakyamama atamwacha wa bodaboda kwa kuzuga tu. Akipata nafasi lazima ampelekee tunda akalichokonoe.
 
Una tatizo la kisaikolojia tafuta wataalam mapema kabla halijawa sugu
 
Hakyamama atamwacha wa bodaboda kwa kuzuga tu. Akipata nafasi lazima ampelekee tunda akalichokonoe.

Hahahaa lakini umekubali pesa ina nguvu zaidi enh?ndo maana kwa bodaboda ataenda kwa kuibia ila kwa BOT lazma ajiweke full time
 
Dogo inaelekea una majanga sana na hawa wanadamu wa jinsia Ke.

nikisema kuwa sina hamu namaanisha kweli babu... Bora huyo kuna mmoja alichonifanyia ndicho kilichonifanya niwe najibu ovyo kwa baadhi ya jinsia hiyo
 
Hahahaa lakini umekubali pesa ina nguvu zaidi enh?ndo maana kwa bodaboda ataenda kwa kuibia ila kwa BOT lazma ajiweke full time

Akikolezwa vizuri... BOT ataisoma namba bila shuruti. Hapana chezeya pawa ya gegedo nakuambia
 
Unahitaji msaada wa kitaalam zaidi wasiliana na washauri nasaha, kuna mtu anaitwa Chris Mauki he is good mtafute kupitia fb

True. Ni mwl wangu pia wa Psychology pale udsm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…