Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje?
sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa .
Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?
Anarudi home anakula na kulala afu mkewe anamuangalia tu. Hajiulizi kwanini mkewe kakaa kimya.... Ukiuliza wanini wengine hujiuliza watampata lingi. Ganda la mua la jana, chungu kaona kivuno.
yaani huyu mtu ni kama simtaki kabisa
badili mazingira
siku mtoe out muende hotel na sehemu ya mbali pia waweza kubadili mazingira ya chumba mkao wa kitanda na nk
jaribu kumwambia ajiweke sop sop kabla hujarudi job avae kisichana
inaweza kusaidia
Pepo toka toka toka toka tokaaaaaaaaaa....Sakariobabababababa......Nmejkuta natumia pesa nyingi kuhonga wanawake mtaani ili kufanya nao mapenzi lakini mke wangu sina hamu nae kabisa, na hujikuta nikifika nyumbani ni kula na kulala, yaani hanivutii tu. sasa kinachonitesa hujikuta nahonga karibu kila baada ya siku mbili ili kupewa penzi nje angali tena mke naye ana matumizi ya ndani kitu kinachoelekea uchumi wangu kuwa wa mashaka. Ndoa niliyofunga hairuhusu talaka. Najiuliza nifanyeje? sijawahi mfumania, ana kipato ingawa sio kikubwa tatizo imetokea tu sina hamu naye miezi kama sita baada ya kumuowa hamu ikawa haipo ikanibidi nianze kuwa na mahawara ambao nao ni garama sana hata vibinti navyo ni garama , sasa nikipata hawara naenda nae gemu fresh na nina kuwa na mzuka nashangaa . Jamani nifanyeje naishi na mtu ambaye sina hamu ya kusex naye?
Pepo toka toka toka toka tokaaaaaaaaaa....Sakariobabababababa......