Habari zenu wapendwa
Mim ni mama mjamzito mimba ya kwanza nipo siku za mwisho kabis mda wowote Mungu akijalia najifungua..
Tatizo nimepoteza hamu ya kula kabisa nakunywa chai tu na uji pamaoja na maji ya barid basi
Haiwez kuleta madhara kwa kiumbe kilichopo tumboni au mim mwenyew nawez kushindwa kupush kwa kukosa nguvu.
Naogopa sana ila nimejitaida sana kula nashindwa.
Nawasilisha