Nimekusanya vsenti vyangu nikaagiza gari japani, sijakaa sawa uchakavu ukawa miaka nane ikabidi nijichange tena ili gari lisije likaozea bandarini, documets zimekuja TRA wame uplift CIF ina maana kodi inazidi kuwa kubwa zaidi. Jamani hii tanzania tunaenda wapi jaman, TRA SINA HAMU NA NYINYI