Sina hamu na mume wangu


hahaha kama sa hivi unajuta kukikataa hiko kitu..basi utakua na damu ya kichagga ndani yako..:biggrin1:
hahaha umenikumbusha mbali, kanyumba kangu kadogo nilikakosea kipindi flani...nilisafiri kikazi arusha na yeye nikamkatia tiketi aje anifwate..hee nafika hotelini wife naye huyo kaja..sijui alihisi nini...aseee nikamchukulia chumba floor nyingine hawara na kumwambia ishu imebausi arudi kesho ake dar, sasa usiku nikaaga naenda kunyoosha miguu, nikampandia chap kumuaga nikamhonga mkufu wangu mmoja wa dhahabu akasusa ..alikua kafwira hasira, nikamwacha nirudi zangu kwenye ndoa yangu, after week kama mbili anaaza kujichekesha ooh ulikua serious unanipa ule mkufu..hahaha nikamwambia bahati haiji mara mbili:biggrin1:...<<angejua nilimaanisha kusalvage thje situation asingesusa>>
 
dah! we 2lia nae 2 sababu ashazaa na ww tena watoto wawil, kama hakushawishi kukupga meat ingia kitaa utafute wadau wenye d**ck zao utafurahia service 2 ,,maana na yeye anategemea revenge toka kwako so haitamuuma..
 
mbona hayo yanafanyika sana tu! labda tatizo lilikuwa huo mlango! ps! mbona ni msosi wa boss !!?
 

Kama ulimaanisha kweli pale kanisani kua utakua tayari kwa shida na raha,basi naamini hutovunja wazo lako kwa mmeo na naamini kama mumeo nae ana mawazo mazuri then anaweza kukutoa sehem ukarefresh mind so naamini mambo yatakua mazuri
 
Mkome na suprise zenu watanzania hatujazoea suprise maana wengi wetu sio waaminifu kabisaa,polee sana msamehee uendelee kumpenda tu maana ni mumeo
 
Umesahau kuwa mtoto wa kwanza ulizaa nje ya ndoa? Pengine ulimdanganya huyu mumeo na amejua kuwa ulizaa ukiwa shule kabla ya kuolewa na akaamua kukutenda (BOFYA)
 
Fanya ujipe likizo ya ndoa just angalau miezi kadhaa away from your husband. (TATIZO WATOTO) lakini kama ni wakubwa si mbaya.
 
Na kweli hujakomaa ktk ndoa hakuna mwanaume asiyechepuka!wapo ambao mpaka wanaletewa watoto wadogo kuliko wakwako wa kuzaa mwanaume nje wanaambiwa bahati mbaya na maisha yanasonga.Utaondokaje kwako?

Hayo yanawakuta walio desparate na ndoa na wanaoona mwanaume ndo kila kitu katika maisha lakin sio mm
 
Umesahau kuwa mtoto wa kwanza ulizaa nje ya ndoa? Pengine ulimdanganya huyu mumeo na amejua kuwa ulizaa ukiwa shule kabla ya kuolewa na akaamua kukutenda (BOFYA)
Kisha sahau kwa hiyo hii aliyoandika ni tamthilia tuu
 
Ulikosea sana siku ile ulitakiwa uvue nguo na wewe hapo hapo awapige wote mashine huku ukimuonyesha kuwa wewe ni mtamu kuliko huyo Secretary.

aisee...watu mmedata...so ww ungemkuta mkeo ndio kainamishwa anapigwa mashine na ww ungevua ukampiga mashine ili uonyeshe kua na ww ni mtalaam na una SHINE tamu kuliko la jamaa?
 
Umesahau kuwa mtoto wa kwanza ulizaa nje ya ndoa? Pengine ulimdanganya huyu mumeo na amejua kuwa ulizaa ukiwa shule kabla ya kuolewa na akaamua kukutenda (BOFYA)

hahaha duh katunga tena. Story nzuri lakini. Ka ni kweli, asamehe tu hahaha
 

pole dada mwachie Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…