Sina hamu na mke wangu tangu ashike ujauzito

Sina hamu na mke wangu tangu ashike ujauzito

Natamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
Mungu akubariki niwanaume wachache wanaojua thamani ya mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi home kwa mkeo kk..ktk Kipindi cha mimba ni muhimu ukaongeza upendo na ushirikiano/msaada kwa mkeo cuz ni wakati mgumu sana kuliko unavyouona...mpende mkeo kk..anakuhitaji now more than ever!

Ugiligili
 
Hakuna Kitu kama hicho.Eti mimba ya mkeo ikupeleke kwa mwanamke mwingine.

Hakuna Kitu kama hicho.Una mambo yako tu
Umeonaee mwanaume malaya ni malaya tu! Sasa unajikinga vipi na magonjwa ili usiyapereke kwa mkeo, maana mtoto anatakiwa kuwa salama?

Pia ww kweli mnyama hivi unajua ni jinsi gani mjamzito anavyoitaji ukaribu, Sex, pamoja na ile amani kutoka kwa mme? Inaelekea umdhaifu sana ktk ngono coz najua watu wengi mke anapokuwa ktk hali hii ujawa na huruma sana na mapenzi, inaelekea umalaya uko ndani ya damu yako unaongea ujinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, mke ana ujauzito tena wa mapacha, halafu unajifurahia na michepuko huko? Hivi ukimletea UKIMWI na kuwaambukiza hao mapacha utajisikiaje?

Hakuna ujinga unaozidi huu.
 
Natamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
Toxic9 umenena mkuu.Wakati huo huo mke asipunguze
Usafi wake,apendeze sana tu kwa mme wake.Unakuta mwanamke ananyonyesha hovyo hovyo,mchafu chafu
Hali hii ndio inawafanya wanaume wengi kukimbia nyumbani.
 
Weye mtelekeze tu kama watu wasiojulikana na Nissan yao nyeupe hawajaku.......ea.

Habari wakuu!…
kama heading inavosomeka,,, tangu mke wangu ashike ujauzito wa pili sina hamu nae kabisa,, bali hamu imehamia kwa michepuko adi najishangaa…

Mke wangu mwenyewe hanielewi kabisa japo hajanikamata na aina yoyote au kiashiria chochote cha kuchepuka…
JE? hutokea watu wote au ni mimi tu? na ushauri tafadhali kwa wazoefu na hata wale wasio wazoefu.
Wassalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
I love this

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It is automatic,ulitaka uwe na hamu ili ufanye nini?taja umri wako kwanza kabla hujaendele kutuchosha...
 
Masikini hapo ndio unakuta mimba imekupenda kila saa anataka kukuona na kukaa na wewe....mpk naumia as if namwona atakavyosononeka....usimfanye mwanamke wako kuumia akiwa na mimba mkuu...akikuchukia hata kiumbe alichokibeba kinakuchukia hata kabla hajazaliwa.
 
Back
Top Bottom