Mugare
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 678
- 853
- Thread starter
- #81
Uwiiiii[emoji86]Umeonaee mwanaume malaya ni malaya tu! Sasa unajikinga vipi na magonjwa ili usiyapereke kwa mkeo, maana mtoto anatakiwa kuwa salama?
Pia ww kweli mnyama hivi unajua ni jinsi gani mjamzito anavyoitaji ukaribu, Sex, pamoja na ile amani kutoka kwa mme? Inaelekea umdhaifu sana ktk ngono coz najua watu wengi mke anapokuwa ktk hali hii ujawa na huruma sana na mapenzi, inaelekea umalaya uko ndani ya damu yako unaongea ujinga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
bora aangamize kuletea ulemavu watoto wasiokuwa na hatiamkuu angalia usije angamiza familia kwa magonjwa ya zinaa....
Hapo ulipo lazima utakuwa na maradhi tu, hebu kapime maana michepuko si mchepuko umepanga!
Ni pm namba ya mkeo niwatatulie tatizo lenu bila malipo ya awali.. tatizo litapomalizika utanilipa kiasi chochote utakachojisikia kaka..Habari wakuu!…
kama heading inavosomeka,,, tangu mke wangu ashike ujauzito wa pili sina hamu nae kabisa,, bali hamu imehamia kwa michepuko adi najishangaa…
Mke wangu mwenyewe hanielewi kabisa japo hajanikamata na aina yoyote au kiashiria chochote cha kuchepuka…
JE? hutokea watu wote au ni mimi tu? na ushauri tafadhali kwa wazoefu na hata wale wasio wazoefu.
Wassalam
Sent using Jamii Forums mobile app