Sina hamu na mke wangu tangu ashike ujauzito

Sina hamu na mke wangu tangu ashike ujauzito

Hujajua tu , mm wife akiwa mjamzito ndio napiga show ya ukweli yaani nasimamia kucha sababu by now papuchi inakuwa ya moto sana , na sasa najipitisha clinic nipate mchepuko ambao una mimba ... au nipe namba za mkeo nimweleweshe ili akivumilie
Hahahaa!… mkuu utamuua huyo mama punguza!… mi wife kwanza namuonea huruma maana ana twins so huo mtumbo si wa kupima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
Ahsante mkuu kwa ushauri mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu!…
kama heading inavosomeka,,, tangu mke wangu ashike ujauzito wa pili sina hamu nae kabisa,, bali hamu imehamia kwa michepuko adi najishangaa…

Mke wangu mwenyewe hanielewi kabisa japo hajanikamata na aina yoyote au kiashiria chochote cha kuchepuka…
JE? hutokea watu wote au ni mimi tu? na ushauri tafadhali kwa wazoefu na hata wale wasio wazoefu.
Wassalam

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
mwenye masikio na asikie!
 
Back
Top Bottom