PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,229
Labda kama mkeo ana gubu la ujauzito
Ila nasikia una mchepuko uliujengea hadi hotel wakati ulipokua wazirBinafsi naumia sana kuona wanandoa wakisalitiana, eee Mungu tusaidie,mimi wife ana wiki ya pili sasa hayupo kaenda kwao but siwazi hata kuwa na mchepuko, nampenda sana mke wangu na sitakuja msaliti
Sent using Jamii Forums mobile app
baba paroko umetoa pwointi moja makiniNatamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
Amen.Natamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Hujajua tu , mm wife akiwa mjamzito ndio napiga show ya ukweli yaani nasimamia kucha sababu by now papuchi inakuwa ya moto sana , na sasa najipitisha clinic nipate mchepuko ambao una mimba ... au nipe namba za mkeo nimweleweshe ili akivumilie
Mlete nimsage mkeo. [emoji1] [emoji2]
And here is another one hell of a marriage!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] JF never boredHujajua tu , mm wife akiwa mjamzito ndio napiga show ya ukweli yaani nasimamia kucha sababu by now papuchi inakuwa ya moto sana , na sasa najipitisha clinic nipate mchepuko ambao una mimba ... au nipe namba za mkeo nimweleweshe ili akivumilie
Labda nje anaruka ukutaNatamani ndiyo ningekua wewe, mke wako angefurahi sana maana sio kwa kumpetipeti, mke akiwa ana mimba yako au amekuzalia ni wa kumheshimu sana na muda wote nikitoka kazini ni kumkimbilia yeye na kumpa raha, wanaume tubadilike tuwapende wake zetu tuwajengee trust, wanawake wa nje wana kitu gani kipya ambacho mke wako wa ndoa hakupi??lets embrace our wives and God will bless us eternally
Kwanini mpenzi?Nimekosa cha kuandika
Kwanini mpenzi?
Ndiyo maana yule mdada anakupendaa[emoji6]Huu ni mda wa kuwa na mke wako karibu, fanya ujinga wako wote lakini kipindi cha ujauzito ni mda wa kuwa karibu na mkeo.