Ewaaaa...
Hebu kwanza huu ni mtego? Uko na return ticket? Ishatumika root ya kuja? Mambo ya masihara kwenye mambo ya msingi sipendagi ujue...
Ikiwa hayo ndio hivyo unitakege radhi...tangu lini babu ODM mimi mwenyewe orijinale nikakaa sehemu isiyokuwepo na sakramenti ya mbuzi katoliki?? Mimi huyuhuyu??
Tena hapa naona kuna kabendi kanatwanga vinyimbo pendwa... hapa nasikiliza "kumbikumbi oooh wanapendana sana, hata wakati wa kutembea unawaona bibi mbeleee bwana nyumaaa"
Hebu wahisha hicho kiuno hapa tuchangamshe nyonga kabla Grants haijabadilisha ratiba....
Lokeshen.... nikuwozap au nikuPM? Chaguo ni la Kasie...
Mahaba mahabani...
Happy New Year 2019.... long time no see you neither your rhythm...
Ngoja nikalisikilize jiwimbo .......
K’ Matata.
Happy New Year to you too. I am still here enjoying good life to the maximum. GOD is ALWAYS GREAT. Enjoy the rest of your weekend.
Looh leo......, I've always been there....
Where are you by the way.....
Am just thinking and smiling at the same time.
Kasinde.
Hahahahahaa nakumbuka zamaniii ulinitumia link ya Bubu Ataka Kusema.....
Kikaishia hapohapo, thanks for the song it's so so...... Makes me think and rethink and get the memory way back......
I can't lose you babe.....(that's the theme ryt..!!)
Kasinde.
Tumetoka kumzika Kibs....Nanayakala,Moyo,Batalingaya,Ndossi wote walikuwepoNiko hadi jumatano ndo narejea kibaruani.....
Tangu lini babu na Kasie wanategana.....
Nnavopenda mziki naanzaje kukutega sasa....
See you there, njia ya location utayoamua itumia Kasie ataifuata tuu, nna hamu ya kubingirika leo mpaka chini heheheehee
Biringe bayoyo biringe bayooyoo.....
Namuomba double R RRONDO aje hapa tumuone mambo zake bingiri bingiri mpaka chiniii 😅😅😅😅
Halafu kanywaji katamuuu 😋😋
Najiona nimekuwa mwepesiiii hehehehehee kumbe turbo 🤣🤣🤣🤣
Tumetoka kumzika Kibs....Nanayakala,Moyo,Batalingaya,Ndossi wote walikuwepo
Umefuraaahiiii mwenyeweee.....
Haya mambo ya kutofahamiana kumbe sio kabisa. Yawezekana labda tuliongea au kukaa meza moja pale kwenye ulabu. Ila kama ulikuwepo makaburini lazima uliniona na kunisikiliza....Tumetoka kumzika Kibs....Nanayakala,Moyo,Batalingaya,Ndossi wote walikuwepo
Siku nyingi sana sijamwona...japo kuna wadau wamenufaika kwa mgongo wa watu8 wa jf Huku mtaani