Sina Habari Nawe....... Byeeee!!

Ila amekukanyaga kanyaga sana mpaka pengine amekupindua pindua huku na kule halafu akakuchoka hivyo hata ukimpiga madongo haumii kabisa.!

Sent using Jamii Forums mobile app


Sauti yako imenifanya nikumbuke kitu, mbwa kwa kizungu ni dog, ila kama mbwa jike wazungu wanamuita bitch je mbwa dume anaitwaje kwa kizungu???!

Sina habari nae....

Sina madeni nae...

Sina upepo nae...

Kimambo on the Beats....

K’ Matata.
 
Vijana walikua wanajitambulisha huko mtaani kwa warembo kua mimi ndo watu8 wa jamii forum...wanapewa mzigo kama kawa..sasa na uzee wote huu inabidi Nitumie tu mbinu za kienga


Hahahahahhaa uzee ukimbie si unamuona Mengi amerudi kuwa na 40 years.....

Kila la kheri kwenye mbinu zako.
 
Hahahaaaa watu atakuwa na kitambulisho kipya anasoma mashtaka yake leo, akizidiwa atakuja tuu.

Pole kwa kuibiwa mahaba yako ya kwanza, ila kwa kwa unayopata sasa natumai utasahau shida na taabu.

Kasie.
Sina habari naye....

Mobali na ngai....
 
Babu Le Big Sam....

Nakupendajeee, mmuah mmuah!!

Malabuku zangu kabla hujaniambia hehehehehe.
Ewaaa... hapo sawa. Le big Sam orijinale amepata haki yake na bakshishi juu...

Kamata kale kanywaji pendwa nitumie bill nifanye muamala kwa M Pesa.

Kama hapo hakapo mwambie Meneja Malabuku zake na robo tatu

Narejea kaunta pale kurekebisha koromeo...
 


Hahahahahhaaa aaaiiilaaabyuuuuu Le Big Sam.....

See you there.....
 
Kasie....

Post #52.... hapahapa

Au wamekufutia wewe huuoni!!??
Ngoja niifuate.... ole wako... nasema ole wako hiyo post isiwe post pendwa kwa Les Sam mwenyewe... Ntakuambikiza mimba wallah

Naenda room no 52... sorry post 52
 
Ewaaaa...

Hebu kwanza huu ni mtego? Uko na return ticket? Ishatumika root ya kuja? Mambo ya masihara kwenye mambo ya msingi sipendagi ujue...

Ikiwa hayo ndio hivyo unitakege radhi...tangu lini babu ODM mimi mwenyewe orijinale nikakaa sehemu isiyokuwepo na sakramenti ya mbuzi katoliki?? Mimi huyuhuyu??

Tena hapa naona kuna kabendi kanatwanga vinyimbo pendwa... hapa nasikiliza "kumbikumbi oooh wanapendana sana, hata wakati wa kutembea unawaona bibi mbeleee bwana nyumaaa"

Hebu wahisha hicho kiuno hapa tuchangamshe nyonga kabla Grants haijabadilisha ratiba....

Lokeshen.... nikuwozap au nikuPM? Chaguo ni la Kasie...

Mahaba mahabani...
 
Ngoja niifuate.... ole wako... nasema ole wako hiyo post isiwe post pendwa kwa Les Sam mwenyewe... Ntakuambikiza mimba wallah

Naenda room no 52... sorry post 52


Hahahahhaaaa babuuuu

See you there.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…