Ndugu kwanza pole sana hilo ni la kawaida ndio maana tunakimbiliaga dar ex press zenye ok..labda kabla ya kukujibu nikusaidie si kila tkt una uwezo wa kuondok a siku hiyo kuna aina nying,ok,sby,na wengine awapo hata kwenye list yaani hao wakusubiri kabisa we ulikuwa kundi gani na kama ukuwa na ok tkt jua wenzako wenye ok wamejaa,shida moja mkikata tkt mnaulizwa una uhakika unasafiri sikuhiyo mnadai mtajulisha airlinr na wao wanakujulisha siku ya kuondoka unapobaki,,kama ulikuwa na ok,nakupa msaada kuna njia nyingi za complains hii ni haki yako na pengine mtu akaondoka kazini..
Shuka na tkt yako nenda pale quality plaza uliizia ppreciss office ulizia kioko md,mweleze si sheria kuuza tkt wakati ndege imejaa na hili ni kosa linalotokea ila kama si kustopisha na watu kuttiishwa adabu upuuzi autaisha kamwe
polesana mkuu
pdidy, leo saa mbili asubuhi nilikuwa kwenye ofisi ya precision ya moshi, niliulizwa kama ninauhakika wa kusafiri, nikamjulisha ofisa kuwa safari yangu ilikuwa ya lazima kwa hiyo lazima nisafiri. Baada ya hatua zote aliniambia nipande suttle ( ya precission air), nilimuambia kuwa nina enda kia kwa gari langu, nilikanyaga mafuta mpaka kia (saa3.05 asubuhu nilikuwa KIA). Ajabu kwenye check in desk la ndani ya uwanja nikaambiwa ndege imejaa. We have a long way to go.

....nafikiri tatizo lipo hapo kwenye kuconfirm safari yako! na kufuatana na post hii mwenye tatizo mwingine ni mfanyakazi wa Moshi hakuwa makini!
Huwezi kunfirm safari ya saa 4. masaa mawili kabla, kwa kawaida ukiangalia ticket yako, huwa unaambiwa uconfirm uhakika wa safari yako at least masaa 72 kabla ya tarehe ya safari! Sasa wewe umeconfirm saa mbili, kuna wenzio wameconfirm kabla ya wewe....ofcourse hapo mfanyakazi wa Moshi ndio kakuangusha.....!
Yes, kuna matukio mengi sana yakuahirisha safari kwa hawa jamaa, lakini kwa hili lako naona na wewe uliteleza kidogo! ila pole mkuu!

Mkuu ni 48
....yeap mkuu tuko pamoja hapo! ngoja niedit!
mkuu Next level, wewe kwa akili yako anaye confirm masaa 72 na masaa 2 kabla ya safari ninani mwenye uhakika, hivi unajua kuwa niki-cinfirm nakuwa regustered kwenye mfumo wao mzima wa uratibu wa safari?, hivi kama hakuna nafasi mtu wa moshi angeniruhusu kupanda shuttle? Au wewe ni wakala wa PA?
....awali ya yote usichukulie hii kitu hapa ni PERSONAL sawa? pili tunachangia post yake kwa mitazamo tofautitofauti.....! kwa nini wanasema uconfirm masaa 48 kabla ya safari? kama unajua masuala ya kihasibu kuna kanuni ya stock management inaitwa First In First Out (FIFO)! Sasa hii ukiileta kwenye masuala ya bookings ni kwamba anayekuwa wa kwanza kuconfirm ndiyo anapewa priority ya kwanza na kimsingi wanakuwa wanahesabu seat fulani imeshauzwa.....! sielewi kwa nini unashindwa kulitambua hilo!
Pili, nimeshakwambia tatizo pia lipo kwa huyo mfanyakazi wa Moshi alikuruhusu kuondoka pale...huyu alitakiwa ajue kuwa ndege imejaaa kabla ya kukuconfirm...kutojua kuwa ndege imejaa na kukuruhusu uondoke kwenda KIA ni tatizo kwake....!
Achana na hoja za uwakala hapa.... mkuu, jadili hoja yako ya msingi!
pdidy, leo saa mbili asubuhi nilikuwa kwenye ofisi ya precision ya moshi, niliulizwa kama ninauhakika wa kusafiri, nikamjulisha ofisa kuwa safari yangu ilikuwa ya lazima kwa hiyo lazima nisafiri. Baada ya hatua zote aliniambia nipande suttle ( ya precission air), nilimuambia kuwa nina enda kia kwa gari langu, nilikanyaga mafuta mpaka kia (saa3.05 asubuhu nilikuwa KIA). Ajabu kwenye check in desk la ndani ya uwanja nikaambiwa ndege imejaa. We have a long way to go.
Mkuu unatumia kinywaji ngani nikuagizie kwa maelezo mazuri?
....awali ya yote usichukulie hii kitu hapa ni PERSONAL sawa? pili tunachangia post yake kwa mitazamo tofautitofauti.....! kwa nini wanasema uconfirm masaa 48 kabla ya safari? kama unajua masuala ya kihasibu kuna kanuni ya stock management inaitwa First In First Out (FIFO)! Sasa hii ukiileta kwenye masuala ya bookings ni kwamba anayekuwa wa kwanza kuconfirm ndiyo anapewa priority ya kwanza na kimsingi wanakuwa wanahesabu seat fulani imeshauzwa.....! sielewi kwa nini unashindwa kulitambua hilo!
Pili, nimeshakwambia tatizo pia lipo kwa huyo mfanyakazi wa Moshi alikuruhusu kuondoka pale...huyu alitakiwa ajue kuwa ndege imejaaa kabla ya kukuconfirm...kutojua kuwa ndege imejaa na kukuruhusu uondoke kwenda KIA ni tatizo kwake....!
Achana na hoja za uwakala hapa.... mkuu, jadili hoja yako ya msingi!
....nafikiri tatizo lipo hapo kwenye kuconfirm safari yako! na kufuatana na post hii mwenye tatizo mwingine ni mfanyakazi wa Moshi hakuwa makini!
Huwezi kunfirm safari ya saa 4. masaa mawili kabla, kwa kawaida ukiangalia ticket yako, huwa unaambiwa uconfirm uhakika wa safari yako at least masaa 48 kabla ya tarehe ya safari! Sasa wewe umeconfirm saa mbili, kuna wenzio wameconfirm kabla ya wewe....ofcourse hapo mfanyakazi wa Moshi ndio kakuangusha.....!