Sina bahati

Kwa nin wahindi wanaweza kufanya na kuendesha family business successfully ?
 
Kumbe ulikuwa huelewi. Ndugu sio wa kufanya nao kazi kabisa. Ukimuajiri mtoto wa ndugu akaharibu wazazi wake wanakuchukia, tena mnajenga uhasama mkubwa zaidi.
Dawa ni kuwasaidia wakiwa huko huko.
Tofauti kidogo ni wachaga. Kwa kiasi fulani ndugu wakiajiriwa wanakuwa na nidhamu kidogo. Wanadumu na wanatoka na mitaji yao bila kukuibia.
 
[emoji1690][emoji1690][emoji1690][emoji1690]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…