Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Poor Brain

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
27,402
Reaction score
54,844
Wakuu salam aleykum. Ndugu katika imani niseme ukweli tu,

Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah, ila tu kiukweli sina amani na maisha ya mjini. Napachukia sana sana, sana, sana, natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa. Mimi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.

Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku. Napenda maisha ya kukaa mbali na ndugu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu. Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.

Napenda niishi kama babu zetu ambao walikuwa wanakaa vijijini huko ndani ndani, ndio kitu napenda. Je, nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu?

Nitafurahi sana pia akipatikana mtu atakayenipa wazo bora la mimi kufika huko.

Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
 
Welcome kijijini kijana
Screenshot_20260217-125547~2.jpg
 
Wakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.

Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.

Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.

Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.

Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.

Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.

Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.

Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....

Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.

Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
Trust the process, maisha yako yalishakuwa programmed
 
Back
Top Bottom