Komredi...una mpwa mwenye 40yrs? Mpwa kikwelikweli ama mpwa kama wale wapwa?
Kama mpo wenye mabusha humu naombeni mnieleze kwa nini mkijambishwa mnaruka ruka?
Si umuambie aende,...kama vip mwambie arudishe hela
mkamateni kwa nguvu mumpeleke
dah....pole sana mpwa....ni kwamba sijathibitisha sana lakini eti wanasemaga kuna kina mama wanayapenda....mi sijui lakini.....labda mkewe ana lolote la kusema?
dah....pole sana mpwa....ni kwamba sijathibitisha sana lakini eti wanasemaga kuna kina mama wanayapenda....mi sijui lakini.....labda mkewe ana lolote la kusema?
Yeah kaoa shangazi yangu huyo mpwa
Mchango kala sasa nifanyaje komredi nimkamate kinguvu nimpeleke Kisarawe?
Au kaambiwa atapewa umwinyi sijui dah
Mi nahisi huenda anafurahia hiyo mijambisho. Si unajua wanasemaga wakijambishwa huwa lile dubwana linatekenyeka.
Halafu kanda za Pwani busha ni kama alama ya ujiko flani hivi....
Hahahaha nilimuuliza mzee flani kanambia kuwa na busha ni ujiko unakuwa Mwinyi eti.
Alafu akijambishwa anaruka ruka wanadai ile ni midadi inakuwa imepanda
Sasa Fidel si umuache tu au?
Yeye Hali yake anaifurahia inaonekana