Simwelewi kabisa huyu mpwa wangu

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Nina mpwa wangu ni kijana tu ana 40yrs alikuja kuomba msaada wa kwenda kufanyiwa operesheni ya Busha huko Kisarawe nasikia hospitali ile ni wataalam sana wa kupasua mabusha. Tumechangishana na pesa ikatosha na yeye kukabidhiwa cha kushangaza siku zinaenda mitaani watu wanamjambisha kama kawa na yeye anaruka. Sielewi anfrahia kuendelea na huo mzigo wabusha au mke wake analifrahia linavyo mgonga gonga? Naombeni msaada nini nikifanye kwa mpwa wangu huyu?
 
Komredi...una mpwa mwenye 40yrs? Mpwa kikwelikweli ama mpwa kama wale wapwa?

Kama mpo wenye mabusha humu naombeni mnieleze kwa nini mkijambishwa mnaruka ruka?
 
dah....pole sana mpwa....ni kwamba sijathibitisha sana lakini eti wanasemaga kuna kina mama wanayapenda....mi sijui lakini.....labda mkewe ana lolote la kusema?
 
Komredi...una mpwa mwenye 40yrs? Mpwa kikwelikweli ama mpwa kama wale wapwa?

Kama mpo wenye mabusha humu naombeni mnieleze kwa nini mkijambishwa mnaruka ruka?

Yeah kaoa shangazi yangu huyo mpwa
Mchango kala sasa nifanyaje komredi nimkamate kinguvu nimpeleke Kisarawe?
Au kaambiwa atapewa umwinyi sijui dah
 
Si umuambie aende,...kama vip mwambie arudishe hela

Hela zote kesha kula namuuliza vp anasema ooh nimeulizia Dr.hayupo

mkamateni kwa nguvu mumpeleke

Ndo hapo sasa naogopa kupigwa kung fu

dah....pole sana mpwa....ni kwamba sijathibitisha sana lakini eti wanasemaga kuna kina mama wanayapenda....mi sijui lakini.....labda mkewe ana lolote la kusema?

Ndo hapo na mm nahisi shangazi analifrahia kwenye kumegana
 
Yeah kaoa shangazi yangu huyo mpwa
Mchango kala sasa nifanyaje komredi nimkamate kinguvu nimpeleke Kisarawe?
Au kaambiwa atapewa umwinyi sijui dah

Mi nahisi huenda anafurahia hiyo mijambisho. Si unajua wanasemaga wakijambishwa huwa lile dubwana linatekenyeka.

Halafu kanda za Pwani busha ni kama alama ya ujiko flani hivi....
 
Mi nahisi huenda anafurahia hiyo mijambisho. Si unajua wanasemaga wakijambishwa huwa lile dubwana linatekenyeka.

Halafu kanda za Pwani busha ni kama alama ya ujiko flani hivi....

Hahahaha nilimuuliza mzee flani kanambia kuwa na busha ni ujiko unakuwa Mwinyi eti.
Alafu akijambishwa anaruka ruka wanadai ile ni midadi inakuwa imepanda
 
Hahahaha nilimuuliza mzee flani kanambia kuwa na busha ni ujiko unakuwa Mwinyi eti.
Alafu akijambishwa anaruka ruka wanadai ile ni midadi inakuwa imepanda

Teh teh teh teh....

Ngoja tusubiri wenye mabusha wake watupe zaidi.
 
Labda mkimdai pesa ataenda.
Mkuu sijui suruali inavalikaje? manake wengi wanapendaga mashuka/kanzu!!!
 
Sasa Fidel si umuache tu au?

Yeye Hali yake anaifurahia inaonekana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom