nina simu yangu ya nokia si mchina nikiweka kwenye chaji inafanya kazi vizuri nikiitoa inawaka muda mfupi then inazima ivi hapo kuna nini wakubwa yaani inaniboa sana asee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.