Pole sana.Angalia profile vizuri sipendi nikujibu vibaya. Kama uko makini utaona hii ndio post ya kwanza hapa. Sijawahi kuja nikaposti kwamba natafuta mume. Kama mume tu mbona wapo wengi ila yule wa ukweli na mwenye vigezo ndio shida kumpata. Jiheshimu mpendwa ili watu wakuheshimu. Kabla hujanena jaribu kuhakiki kama ukisemacho kina ukweli.
watu wanakupima pia kwa maneno yako.huenda muoaji yuko humu humu.
ukianza kuutumia mdomo wako "vizuri" mapema hivi, itachukua muda kupata mtu wa type yako.Moja ya sifa ulizo nazo ni ni kwamba " you are irritable".inahitaji mtu mvumilivu kuishi na wewe.
na ndiyo maana kwa sababu za "kibinadamu" hukuweza kudumu na aliyetangulia/waliotangulia