darling-tone
Member
- Apr 24, 2013
- 60
- 11
Naona leo umeamua kujifunza kutengeneza ID humu JF.MMU habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume au hata mchumba. Tangu nimebreak na ex (kwa sababu za kibinadamu na zilizo nje ya uwezo wetu sote) inaniwia vigumu sana kumpata mtu ambae tunawiana na kuendana kwa mambo muhimu ya uhusiano. Tatizo wengi ninaowaona na wanaoniapproach wanakuwa hawana vigezo na wamekaa kisanii sana. Hata akiwa na vigezo vya nje unamkuta maswala ya imani kama mimi niaminivyo hayupo kabisa, au unamuona hajatulia kabisa. Kwakweli ninashindwa kuutoa moyo wangu kafara hasa nionapo kwamba niliye nae sie alafu ning'ang'anie tu. Hata sijielewi mwenzenu. Sijui ni kwangu tu au hata kwa wengine?.
Nifanyeje wapenzi? au niamue tu kuendeleza uhusiano hata pale nafsi yangu inapoona kasoro ambayo ni unbearable kwa mhusika? Siwezi kucheat au kumchora mtu kwamba niko kwenye mapenzi wakati kuna shida naiona, nifanyeje waungwana?
Nategemea mengi kutoka kwenu.
Wenu DT
Ukiona hivyo, umtakaye hajawasili
wee kaa na mtu ukibuzi buzi tu kwa ajili ya baiolojia
Kwani sheria inasema kuolewa mwisho miaka mingapi?? Hujaona Mangula kaona juzi kati tu labda bado wako fungate?
Ume-invest sana kwenye kutaka kuolewa wakati hata mchumba huna, utajinyonga bure na maisha ni haya haya
MMU habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume au hata mchumba. Tangu nimebreak na ex (kwa sababu za kibinadamu na zilizo nje ya uwezo wetu sote) inaniwia vigumu sana kumpata mtu ambae tunawiana na kuendana kwa mambo muhimu ya uhusiano. Tatizo wengi ninaowaona na wanaoniapproach wanakuwa hawana vigezo na wamekaa kisanii sana. Hata akiwa na vigezo vya nje unamkuta maswala ya imani kama mimi niaminivyo hayupo kabisa, au unamuona hajatulia kabisa. Kwakweli ninashindwa kuutoa moyo wangu kafara hasa nionapo kwamba niliye nae sie alafu ning'ang'anie tu. Hata sijielewi mwenzenu. Sijui ni kwangu tu au hata kwa wengine?.
Nifanyeje wapenzi? au niamue tu kuendeleza uhusiano hata pale nafsi yangu inapoona kasoro ambayo ni unbearable kwa mhusika? Siwezi kucheat au kumchora mtu kwamba niko kwenye mapenzi wakati kuna shida naiona, nifanyeje waungwana?
Nategemea mengi kutoka kwenu.
Wenu DT
Huuuuwiii umeuwa hivi wewe lara 1 ukoje??natamani nikuone tu!kwa sura maana haya maneno wanawake wakiyasoma watatuliza k zao chini!Girl You just dont go to MAN SHOPPIN!!!!!!!!!!!! YOU MAKE YOUR OWN MAN! Yah! You red right! MAKE YA OWN MAN! You need to sweat n put ya bottom to some serious charity work of turning those Bozo's you meet to a potential husband!
If you see a complete Man on the road just know your fellow woman sweated her behind to turn that man in anythin near your liking!
So girl put you ya A.s.s to some serious work of turnin a bozo to a man of ya liking! Or else keep searchin what is not there!
CAPISH!!!!!!!!!!!!!
Naona leo umeamua kujifunza kutengeneza ID humu JF.
post yako ya kwanza ulisema unatafuta mtu wa kukuoa.sasa uko post ya tatu.
Mie kwa maoni yangu, kwa sababu za kibinadamu, itakuchukua muda kupata mtu wa type yako, ila usikate tamaa.
Girl You just dont go to MAN SHOPPIN!!!!!!!!!!!! YOU MAKE YOUR OWN MAN! Yah! You red right! MAKE YA OWN MAN! You need to sweat n put ya bottom to some serious charity work of turning those Bozo's you meet to a potential husband!
If you see a complete Man on the road just know your fellow woman sweated her behind to turn that man in anythin near your liking!
So girl put you ya A.s.s to some serious work of turnin a bozo to a man of ya liking! Or else keep searchin what is not there!
CAPISH!!!!!!!!!!!!!
Ukijituliza utampata ambae ana nia na wewe na pia itakua rahisi kumtambua. Vilele unapokua unataka kuingia kwenye uchumba mchunguze mfumo wake wa maisha kama kwa kipindi hicho anauweza kuishi na mtu akumudu majukum afu vilevile usijirahisi mapema na kuanza kumpa mapenzi haraka haraka kabla hujasoma mchezo
Bold inaonekana wewe ndio tatizo kwani kama kila anayekuja ni msanii ni wazi hata wewe unaonekana kisanii na kuhusu imani ni vigumu sana kwa mwanamke kusimamia imani yake ila ya mmewe ila kama una nguvu endelea kukomaa utapata wa machaguo yako....N.B katika mahusiano mwanamke anapendwa kisha anajifunza kupenda alipopendwa and the vise versa is not correct
Wee unaona wenzio wanakasoro wakati aliyeumba ni Mungu/Mola???
Ondoa Boriti katika jicho lako kwanza, ndipo uondoe kibanzi
katika jicho la Mwenzio, huenda wewee ndo mwenye kazoro nyingi ulizozificha chini ya Jamvi..