Barikiwa sana mkuu,umenena yaliyo ya kweli.Mungu ibariki Tanzania.Kaka asante kwa Reply nzuri juu ya bandiko hapo juu, na mimi niseme hivi, mleta bandiko ameanza vizuri sana kwa kuelezea namna mwasisi wa taifa hili alivyokuwa na upeo mpana na wa mbele sana katika kupambanua mambo, ubinafsi haukuwa sehemu yake, upendeleo ulikuwepo na kuwatanguliza wengine alikuweka mbele hakuwaacha nyuma Watu wote waliokuwa chachu ya uhuru wa nchi yetu,
Ila alikuwa na akili sana yakujua wapi ni muweke nani na wapi nisimweke, ukitaka kuangalia kwa undani sana wanaharakati wote walioasisi uhuru wa nchi hii familia zao hazijabeba Legacy walioacha wazazi wao hata familia ya Nyerere yenyewe haijafanikiwa kwenye hili, nadhani nikwasababu ya filosofi iliyokuwepo wakati ule ambayo ilibebwa na kufuatiliwa vizur na wazazi wao, imebadilika sana kiasi hawakuweza kuendana na mabadiliko....
Pia viongozi wengi waliofuta katika utaawala wa Tanzania ubinafsi, kujipendeza, madili na ufisadi vimetawala hawakumbuki mtu Ila mfumo uliopo. Ndio maana matabaka na kubaguana Ndio moto unaotutafuna kimyakimya. Bado nauhusudu namna ya utaawala na approach aliyokuwa anaitumia Mwalimu katika kuyakabili matatizo na kutatua changamoto na namna alivyokuwa akiyaangalia mambo
Mungu adumishe Uhuru wa Tanzania katika Amani, umoja na Ushirikiano thabiti na madhubuti. Amen
TEWA SAID TEWA MEMBER WA ''WEDNESDAY TEA CLUB,'' TAA, MUASISI WA TANU, RAIS WA EAMWS, WAZIRI SERIKALI YA KWANZA, BALOZI, MBUNGE NA KIONGOZI WA WAISLAM WA TANGANYIKAIparamasa,
Leo nilikuwa Radio Kheri mubashara nikifanya Kipindi Maalum
cha Uhuru wa Tanganyika:
Sikiza kipindi hapo chini:
Mohamed Said Salum | Facebook
Nyie wazee ndio fursa ziliwapitia pemben mmebaki na chuki zenu za kimaisha mnamtafuta mtu wa kumwangushia lawama. Watu Kama nyie hupati taabu kuwajua angalia tu vitu anavyomiliki ndio utajua maneno yake yamefunikwa na niniIparamasa,
Leo nilikuwa Radio Kheri mubashara nikifanya Kipindi Maalum
cha Uhuru wa Tanganyika:
Sikiza kipindi hapo chini:
Mohamed Said Salum | Facebook
Kwa kawaida historia haipatikani katika nyaraka moja.Mara nyingi historia hujengwa na mkusanyiko wa nyaraka nyingi tofautitofauti.
Hawa wazee wengine tumewafahamu kupitia maandiko mbalimbalia ambayo kwa pamoja yanajenga historia ya nchi yetu.
Sasa kama wameandikwa na historia inawatambua.Tatizo liko wapi!
Leo hii hata familia ya Nyerere haisikiki kwa kuwa hakutaka kuwa mbinafsi na kujipendelea yeye na familia yake eti kisa alipigania Uhuru na kuwa Rais wa kwanza.
Kitali,Nyie wa
Nyie wazee ndio fursa ziliwapitia pemben mmebaki na chuki zenu za kimaisha mnamtafuta mtu wa kumwangushia lawama. Watu Kama nyie hupati taabu kuwajua angalia tu vitu anavyomiliki ndio utajua maneno yake yamefunikwa na nini
Nyerere kafa maskin,nani kasema? Familia yake inalindwa na kulishwa hadi kesho,ya Sykes au Dossa umeisikia ikipewa hzo huduma?Kumsikiliza Dossa na kumpa fursa stahiki ndo nepotism? Watu wanalipwa asilimia themanin ya mshahara wa waziri mkuu leo bila mchango wa maana kwa taifa eg,Pinda,alifanya nini zaid ya kulia lia tuu!Kwa hiyo hao wazee walipigania Uhuru kwa maslahi yao binafsi na sio nchi ?
Mbona Nyerere kafa maskini, isingekuwa Jeshi kumjengea nyumba angekufa kama mtu masikini mwingine.
Nepotism ndiyo inaharibu nchi hii ,Nyerere angekumbatia kundi dogo la watu eti kisa walipigania Uhuru nchi hii ingekuwa na matabaka ya koo za watawala na watwana.
Umeanza kwa kunishambulia na kunihusisha na chuki na kupoteza mwelekeo.Umenihusisha na dini,je,nikikuuliza mimi dini gani unaweza kunijibu? Mimi,ni mtu toka bara na sina maslahi na niyasemayo sema nataka ukweli ujulikane.Mkuu nikwambie,hata kama hatukubaliani lakini tusizibane midomo,acha kila mtu aseme.Nimalizie kwa kusema,serikali ilitakiwa ifanye kitu kwa waasisi hawa,hata kuanzisha foundation kwa jina lao na kisha ikasaidia watu kutoka maeneo mbalimbali imeshindikana? Ni ya Nyerere tuu,na ipo kimaslahi binafsi tuuu.We ni chuki tu zinakusumbua na watu Aina yenu ni wale watu ambao walishapoteza muda wao so wamejikuta hawana uwezo wa Kubadilisha hali zao. Mimi kosa kubwa ninaloliona kwa hawa walalamikaji ni kuwa ni kweli walipigania uhuru lakin lengo lao ilikuwa baada ya kushinda walitaka kupewa chochote kitu au kutunzwa au kuwekwa mezan muda wote tabia za kiswahiliswahili hebu nenden Kenya wale walioanzisha mapambano ya uhuru akina dedan kimathi uniambie Kama kuna jamii yake inakumbukwa. Unalia watoto kukumbukwa Kwan hii ni nchi ya kifalme au Kama hujawaandaa watoto ulitaka wapewe kaz tu Kama zawadi polen. Mi Nadhan unachojaribu kutuambia hapa ni kuwa Uislam ulihusika Sana kuleta uhuru umesahau hata Kama ndivyo kuleta uhuru na kuudumisha ni vitu viwili tofauti.
We ni chuki tu zinakusumbua na watu Aina yenu ni wale watu ambao walishapoteza muda wao so wamejikuta hawana uwezo wa Kubadilisha hali zao. Mimi kosa kubwa ninaloliona kwa hawa walalamikaji ni kuwa ni kweli walipigania uhuru lakin lengo lao ilikuwa baada ya kushinda walitaka kupewa chochote kitu au kutunzwa au kuwekwa mezan muda wote tabia za kiswahiliswahili hebu nenden Kenya wale walioanzisha mapambano ya uhuru akina dedan kimathi uniambie Kama kuna jamii yake inakumbukwa. Unalia watoto kukumbukwa Kwan hii ni nchi ya kifalme au Kama hujawaandaa watoto ulitaka wapewe kaz tu Kama zawadi polen. Mi Nadhan unachojaribu kutuambia hapa ni kuwa Uislam ulihusika Sana kuleta uhuru umesahau hata Kama ndivyo kuleta uhuru na kuudumisha ni vitu viwili tofauti.
Nilitakiwa nisisimuke kwa kipi kwa mfano?
Au hii ya habari ya kwamba Nyerere alifisidi nchi kiasi cha kuwa hata wale waliokuwa matajiri enzi za Mkoloni wamegeuka mafukara wa kutupwa chini ya utawala wake?
Na hilo nalo halikunisisimua. Limenisikitisha
maggid una tabia ya kueleza mambo mengi amabyo sio kweli hata kule facebook ulieleza historia ya abood jumbe ukaumbuliwa ttzo unapenda kujifanya nguli wa kila kitu historia ni jambo adhimu angalia hapa unaleta jambo kuhusu chief kunambi kumbe sio kweliBalibabambonahi,
Asante, uko sahihi, na moja ya shida ya baadhi ya wachangiaji ni kukurupuka. Baadhi pia huona baya kwa kila kinachoandikwa na mtu wanayemchukia. Hao wapo mpaka mwisho wa dunia.
Maggid
Sasa hizo nadhani ni chuki binafsi,hujui Pinda alikuwa nani nchi hii!!??Pinda analipwa kwa mujibu wa Sheria na Nyerere alikuwa Rais wa nchi hii.Yaani wewe ulitaka wagimbea Uhuru wote wawe marais au ulitaka wawe wanalipwa mshara.Nyerere kafa maskin,nani kasema? Familia yake inalindwa na kulishwa hadi kesho,ya Sykes au Dossa umeisikia ikipewa hzo huduma?Kumsikiliza Dossa na kumpa fursa stahiki ndo nepotism? Watu wanalipwa asilimia themanin ya mshahara wa waziri mkuu leo bila mchango wa maana kwa taifa eg,Pinda,alifanya nini zaid ya kulia lia tuu!
Kama hilo ndio lengo lao wape Pole. Mwambie nchi hii kila mtu alijitolea kwaajili uhuru waache ubinafs Kama walikuwa wanatafuta uhuru wao ningewatetea lakin Kama walimaanisha uhuru wa nchi nadhan wamepteza Raman hao. Ni sawa na mimi eti ukute namsomesha mtoto eti ili aje kunisaidia hayo ni mawazo mfu Msomeshe mtoto ili aje kupambana na dunia yao. Hawa wazee ndio wamebaki kulalamika mpaka wamekufa bila kuwaandaa watoto matokeo yake watoto wamekuja kuuza nyumba zote walizoacha pale kkoosasa kuna mtu alipigania uhuru ili aje awe irrelevant baada ya uhuru?
wewe unaweza kujitoa kwa hali, jasho na damu then usionje ujira wa juhudi zako?
kama ingekuwa hivyo mbona yeye Nyerere baada ya kustaafu aliendelea kupata priviledge za kiserikali?
Kama hilo ndio lengo lao wape Pole. Mwambie nchi hii kila mtu alijitolea kwaajili uhuru waache ubinafs Kama walikuwa wanatafuta uhuru wao ningewatetea lakin Kama walimaanisha uhuru wa nchi nadhan wamepteza Raman hao. Ni sawa na mimi eti ukute namsomesha mtoto eti ili aje kunisaidia hayo ni mawazo mfu Msomeshe mtoto ili aje kupambana na dunia yao. Hawa wazee ndio wamebaki kulalamika mpaka wamekufa bila kuwaandaa watoto matokeo yake watoto wamekuja kuuza nyumba zote walizoacha pale kkoo
Hivi hili swala la viongozi wastaafu kulipwa asilimia 80 halina kikomo! Mbona uraisi una kikomo?Sasa hizo nadhani ni chuki binafsi,hujui Pinda alikuwa nani nchi hii!!??Pinda analipwa kwa mujibu wa Sheria na Nyerere alikuwa Rais wa nchi hii.Yaani wewe ulitaka wagimbea Uhuru wote wawe marais au ulitaka wawe wanalipwa mshara.
Acheni propaganda ,nchi hii imekomblewa kwa harakati za maelfu ya watu na sio tu hao wachache ambao ninyi mnawapigania kwa kigezo cha dini zao.
Hao akina Sykes na Nyerere sio watu pekee walipigania Uhuru wa nchi hii.Hao walikuwa viongozi tu lakini kuna wengine pia walipata madhara mengine mbali na kifirisika.
Hata leo hii CHADEMA ikitwaa madaraka akina Mbowe watasomeka kwenye historia lakini vijana walipigwa mabomu Arusha wanaweza wasitajwe japo wamemwaga damu kupigania Demokrasia .Kuna watu leo hii wanazihakiwa kuwa "wanywa viroba" na bodaboda lakini ndio kundi kubwa lenye hamasa katika kupigania demokrasia.
Kwa hiyo tukisema kila aliyepigania Uhuru wa nchi hii wapewe heshima sawa hata Mimi na yule tunaweza kutaja babu zetu ambao nao walichangia mapambano ya Uhuru.tuache hisia potofu za kuona tunatengwa ilihali historia inawatambua wazee hao,labda kama walitegemea madaraka na kuwa first class citizens kitu ambacho sio sahihi katika kujenga nchi yenye usawa.
Umenena kweli hii nchi si ya kifalme, watoto wengi wa viongozi na matajiri wanakuwa wazembe na wavuta unga hakuna juhudi yeyote hata ktk elimu wapewe tu eti babu yake au mdogo wake na babu alikuwa mpigania uhuru. Ubinafsi huo walifanya kazi kwa uzalendo kwa nchi yao acheni ubinafsi na udini. Jitihada zako binafsi ndy njia pekee ya kufanya vizuri kuna wengine waimba singeli, haki bin hakiMkuu unamaanisha historia ipi ?maana watz wengi tunawajua hao watu akina Dosa ,Sykes, Aziz n.k kama wapigania Uhuru Wa nchi hii.Je, labda wewe ungependa waandikweje ?
Umesema hao watoto wa wapigania Uhuru kama akina Bibi Titi ,Kambona hawasikiki.Je, ulitaka wasikike vipi? Wawe magavana ,mawaziri au ?Mkuu, hii nchi ni ya watanzania wote ,Fanya bidii tafuta fursa utasikika tu.Au mkuu ungependa labda wapewe vyeo vya bure bila jitihada kwa kuwaenzi baba/mama zao ?
Kama ulitaka hivyo,utakuwa umepotoka hatuwezi kuijenga nchi yenye usawa ikiwa tutawapendelea watu kwa majina yao/koo zao.Tukifanya hivyo tutatengeneza koo za watawala na koo za watwana.
Asante.
maggid una tabia ya kueleza mambo mengi amabyo sio kweli hata kule facebook ulieleza historia ya abood jumbe ukaumbuliwa ttzo unapenda kujifanya nguli wa kila kitu historia ni jambo adhimu angalia hapa unaleta jambo kuhusu chief kunambi kumbe sio kweli
Mwenyekiti nakufuatilia sana makala zako ww ni mwandishi nguli kwa hyo kwenye historia sensitive kama hizi ni wajibu kujiridhisha sio kukusanya kukusanya kama barzaBafa,
Ahasante, lakini nawe, kama kawaida, unaishia kusema sio kweli bila kusema la kweli ni lipi na kwa ushahidi gani.