Simulizi ya maisha yangu: Naamini kuna watakaojengwa na kuelimika na simulizi hii

Binafsi sijaelewa wewe unakwazwa na nini.
Mimi ndiye mleta mada.
Matamanio na malengo yangu niliyoyataka watu wajue kwa leo ninayajua mimi.
Wewe ni msomaji na ambaye wala sijakulazimisha uisome,nimetumia uhuru wangu wa kuweka andiko hapa ambalo ni huru kwa aliye na uhuru wa kusoma alisome.Sijakushikia fimbo kukulazimisha uisome taarifa yangu.
Shida hapo ipo wapi?.
Una uhuru wa kusoma au kutokusoma.
Ninao uhuru wa kuandika au kuto andika.
Kwa nini tupishane maneno badala ya kila mmoja kutumia uhuru wake
Hii nguvu uliyoitumia hapa ungetupa walau kamwendelezo kidogo ungefanya la maana sana
 
Back
Top Bottom