japhet hoho
New Member
- May 20, 2019
- 4
- 0
ishiii xax na we umekaa kbx kwa akil zak timamu ukaamua utuletee hyo xtor yak ya kipuuz kwaiy xax unatufundisha kwmb 2we tunawarog walimu wa2 wengn bhn
ishiii xax na we umekaa kbx kwa akil zak timamu ukaamua utuletee hyo xtor yak ya kipuuz kwaiy xax unatufundisha kwmb 2we tunawarog walimu wa2 wengn bhn


Hadithi nzuri sana je ni ya kweli?SEHEMU YA 16
“Na kama huyo mchawi hapatikani katika nyinyi wanafunzi basi mkirudi nyumbani mkawaambie wazazi wenu kilichotokea leo, ni mengi yametokea lakini sitaki kuyasema,” mwalimu mkuu alilalamika sana. Kabla hajaendelea, mimi nilinyoosha mkono juu ili nipewe nafasi ya kusema mawili matatu. SASA ENDELEA … “Wewe unataka kusema kuhusu nini?” “Niongee kidogo mwalimu.” “Kuhusu la uchawi au una lako jingine?” “Hilihili la uchawi.” Nilimwona mwalimi mkuu amenitumbulia macho kama asiyeamini alichokisikia kutoka kwangu. Sababu kubwa ya kutoamini nadhani ni kitendo cha mimi kutaka kuongelea hilo wakati kuna wanafunzi wakubwa zaidi yangu walikuwa kimya. “Enhe, ongea unachotaka kuongea wewe.” Nilimuuliza mwalimu hivi: “Niliwahi kusikia serikali yetu haiamini mambo ya kichawi, uongo kweli?” Mwalimu mkuu akajibu ni kweli kabisa. Nikaendelea kumuuliza: “Je, sasa hayo maagizo unayotupa tukapeleke nyumbani si kuifanya serikali iamini ushirikina maana shule hizi si za serikali?” Mwalimu mkuu akanifokea, akasema nikomee hapohapo, yeye kama mwalimu mkuu hawezi kuiona shule inaangamia kwa sababu ya kuogopa serikali haiamini uchawi. “…ni kweli serikali haiamini uchawi lakini mimi naamini, na mimi ndiye mwalimu mkuu wa shule hii. Hapa shuleni uchawi umezidi sana au wewe unawa…” Sikusubiri amalize kwani nilijua anataka kusema nini, nikamtumbulia macho huku moyoni nikisema maneno yangu ya kichawi, akashikwa na ububu wa muda. Hata kutuamuru tuondoka mstarini alitumia ishara ya mikono, wanafunzi tukatawanyika. Siku hiyo nilipofika nyumbani nilimwambia mama kilichotokea, nikamwambia ushauri wangu ni kuachana na walimu kwani wote wameonesha hawajiwezi. “Kama ni kuwachezea, tumewachezea sana, tumewaumiza sana, tuwaache tu sasa, mimi wamenichosha sana,” nilimwambia mama, akasema sawa lakini akasema anachofurahi ni kwamba, nimewaroga walimu wangu hadi nimechoka mwenyewe, tukacheka na kuendelea na mambo mengine.
MWISHO
Hadithi nzuri sana je ni ya kweli?