Simulizi ya Kweli: Jinsi Nilivyoacha Uzinifu

Aise baadhi ya Watanzania ni watu wa ajabu sana. Heading inasema simulizi ya kweli wewe unasema ni uongo!!
Ebu nioneshe sehemu niliposema simulizi yako ni uongo...bila shaka umegundua kuwa wewe ndiye mtanzania wa ajabu.
 
Story imeisha kiajabu kama movies za kiihindi.
 
Endelea mbona haujaimalizia hii hadithi
 
Inaendelea . . . . . . . . Baada ya kuamua kuacha kuzinzika kwa muda wa wiki nne, nilishangaa sana kwa mtiririko huu wa matukio yaliyonitokea, kwanza kabisa nilijikuta mpweke sana hali iliyopelekea kukoswa koswa kugongwa na gari aina ya VOGUE wakati nikikatiza barabara kuelekea nyumbani kwa kaka yangu aliyekuwa akiishi pale KAWE BONDENI. Vuruuuuu chwiiing! gari ilishika breki ghafla japo pamoja na juhudi zote za dereva lakini ilinigusa kwa ubavu wake ila kidume niliruka TAI CHI bila kuumia. Haaaaa! Alishuka dereva wa kike wa lile gari akiwa amefura kama chatu mwenye njaa aliyemkosa kosa mbuzi wa mzee Ngoswe, baada ya kumtazama yule dereva nilimfahamu kuwa ni 'Miss Z' ambaye aliniacha miezi minne iliyopita, bhasi alinitukana sana tena matusi ya kiumaskini maskini hasa baada ya kuona nilivyokuwa nimevaa kofia ya ukingo kichwani kama tahadhari ya kuzuia kunguru asinidonoe kichwani lakini pia kutokana na jua kuwa kali nilikuwa nimevaa miwani ya rangi kuzuia miale ya jua. Miss Z alitumia muda wa dakika 2 akinitusi na kunizodoa mbele ya mashoe shiner wa pale Kawe Bondeni lakini hakunitambua kwa kuwa machoni nilivaa miwani mikubwa ya rangi na kichwani kofia ya asili au ukingo niliyopewa kama zawadi na rafiki yangu kutoka huko kwa WASHASHI hasa baada ya kumnusuru kuibiwa na vibaka wa pale kariakoo miaka 2 iliyopita. Hatahivyo baada ya matusi Miss Z aliingia kwa gari yake akaondoka zake kuelekea maeneo ya Tegeta, ndipo mimi nilishika uchochoro kuelekea Uswazi alipokuwa akiishi kaka yangu ambaye tayari alikuwa ameoa mke mmoja, na ndoa yake ilikuwa ya amani sana, sio kwasababu wanasali kanisali kila siku ya ibada lakini pia waliishi kulingana na kile wanachokisali, kama kawaida mimi na shemeji yangu utani ulikuwa hauishi japo baadae nilipoona huu usemi umeandikwa nyuma ya daladala ya kwenda Tegeta Eti 'hakuna ushemeji tunakulaaga' nikajua shetani mwekundu alikuwa akininyemelea kupitia shemeji yangu ili anirudishe kwenye game la kuzinzika japokuwa sijawahi kusikia kuwa shemeji yangu ni mzinzi, 'Sitaki utani kuanzia leo, nasema sitaki kabisa shemeji' nilishtuka ghafla kwa kusema maneno hayo yaliyomshangaza shemeji kwani hata chakula alichokuwa akipika kwenye jiko la mkaa kilimwagika kutokana na kumshtua na maneno Inaendelea . . . . . . . . Baada ya kuamua kuacha kuzinzika kwa muda wa wiki nne, nilishangaa sana kwa mtiririko huu wa matukio yaliyonitokea, kwanza kabisa nilijikuta mpweke sana hali iliyopelekea kukoswa koswa kugongwa na gari aina ya VOGUE wakati nikikatiza barabara kuelekea nyumbani kwa kaka yangu aliyekuwa akiishi pale KAWE BONDENI. Vuruuuuu chwiiing! gari ilishika breki ghafla japo pamoja na juhudi zote za dereva lakini ilinigusa kwa ubavu wake ila kidume niliruka TAI CHI bila kuumia. Haaaaa! Alishuka dereva wa kike wa lile gari akiwa amefura kama chatu mwenye njaa aliyemkosa kosa mbuzi wa mzee Ngoswe, baada ya kumtazama yule dereva nilimfahamu kuwa ni 'Miss Z' ambaye aliniacha miezi minne iliyopita, bhasi alinitukana sana tena matusi ya kiumaskini maskini hasa baada ya kuona nilivyokuwa nimevaa kofia ya ukingo kichwani kama tahadhari ya kuzuia kunguru asinidonoe kichwani lakini pia kutokana na jua kuwa kali nilikuwa nimevaa miwani ya rangi kuzuia miale ya jua. Miss Z alitumia muda wa dakika 2 akinitusi na kunizodoa mbele ya mashoe shiner wa pale Kawe Bondeni lakini hakunitambua kwa kuwa machoni nilivaa miwani mikubwa ya rangi na kichwani kofia ya asili au ukingo niliyopewa kama zawadi na rafiki yangu kutoka huko kwa WASHASHI hasa baada ya kumnusuru kuibiwa na vibaka wa pale kariakoo miaka 2 iliyopita. Hatahivyo baada ya matusi Miss Z aliingia kwa gari yake akaondoka zake kuelekea maeneo ya Tegeta, ndipo mimi nilishika uchochoro kuelekea Uswazi alipokuwa akiishi kaka yangu ambaye tayari alikuwa ameoa mke mmoja, na ndoa yake ilikuwa ya amani sana, sio kwasababu wanasali kanisali kila siku ya ibada lakini pia waliishi kulingana na kile wanachokisali, kama kawaida mimi na shemeji yangu utani ulikuwa hauishi japo baadae nilipoona huu usemi umeandikwa nyuma ya daladala ya kwenda Tegeta Eti 'hakuna ushemeji tunakulaaga' nikajua shetani mwekundu alikuwa akininyemelea kupitia shemeji yangu ili anirudi
 
Tunachoshana tu hizo Tai Chi ungepeleka kwenye judo huko ungepata mapesa
 
Hahaha..nimeogopa kitendo kile kujirudia mara mbili mahali pale pale kwa staili ile ile na muda ule ule wa asubuhi. Lakini pia unapofanya hili tendo kuna wakati you admit you are sinner and you afraid the proceeding. How was it supposed to end?
Mlikosana nini na ulikuwa naye chuoni?
 
Mlikosana nini na ulikuwa naye chuoni?

Hakukuwa na ugomvi mkubwa zaidi ya confrontation ya kawaida kwenye mapenzi, akaomba tupeane some time off and that was it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom