Simulizi ya kipigo kwa mwana-usalama chuo kikuu cha Dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simulizi ya kipigo kwa mwana-usalama chuo kikuu cha Dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Leonard Robert, Nov 18, 2011.

 1. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  ilikua siku ya jumatano, maandamano yakiwa yamepamba moto..wanafunzi wakiwa wamegoma kuingia darasani kushinikiza wanafunzi wenzao waweze kutoka maabusu,maandamano yalianzia eneo la revolution square kuelekea yombo ili kuwaondoa wenzao madarasani hadi utawala kupitia mamalishe,polisi hadi utawala..muda wote huo jamaa mmoja alikua akishtukiwa kuwasaliti wenzao,kwani walianza kumshuku siku mbili kabla,akiwa anaonekana mwenye muonekano tofauti na wana-UDSM. walipofika maeneo ya utawala ndipo jamaa huyo akaamua kutaka kutoloka katika eneo hilo, akiwa amefika maeneo ya CONAS kuelekea COet vijana waliokua wanafatilia nyuma wakamkamata na kuanza kumhoji, alipoonekana kubabaisha ndipo aliposhushiwa kipigo cha mbwa mwizi,kundi hilo lilipotosheka kumpa kipigo wakaamua kumpeleka utawala walikokuwa wanafunzi wengine, wakati wakielekea maeneo ya mdegree ndipo yule jamaa akaanza kujitutumua baada ya kuona walinzi wa chuo. Ugonvi ulianza kati ya walinzi wa chuo(waliokuja kumsaidia huyo jamaa) mara gali la FFU liliingia kwa fujo na kutawanya wanafunzi na kumchukua huyo jamaa.swali ni je hawa wanausalama wa siku hizi sio kama enzi ya mwl nyerere? Nawasilisha.
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hahahahahah
  nilpockia kwenye radio jana nilicheka sana!
  Vjana wa leo watata sana
   
 3. Mghoshingwa

  Mghoshingwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  We ulijuaje kama ni mwana usalama?
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kwa nini msingemuulia mbali? nyie vp!
   
 5. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mhh hapo mmepitiliza
  enzi zetu tukiwa chuo miaka ya 2000 tuliandamana sana klkn hatukuwahi kumpiga mtu
  yawezekana mlimpiga mwanachuo mwenzenu.
   
 6. v

  valid statement JF-Expert Member

  #6
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  inaewezekana akawa shushushu pia...
   
 7. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #7
  Nov 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tena akome tena wamekuwa sana mjin hapa cjui serikal ya baba yao
   
Loading...