FEBIANI BABUYA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 2,232
- 4,388
- Thread starter
- #201
Ila huyo mwamba aliyemshika mtoto wa Sarah anaonekana naye ni mtata kwa vikaragosi vya Gavin. Kosa kubwa sana amelifanya mtoto wa Gavin, kuchukua maamuzi kwa mihemuko, pili namlaumu Othman kumwacha mwanae huko nje legelege kama mlenda.Gavin ataua mtu yaan anakinukisha mda si mrefu
Mkuu narudi leoOya tajiri weka basi hata kamoja
LeoMwendelezo lini
KaribuHApa vipi
Huko fashnet mimi hapanaNazidi kukukumbusha kwamba unaweza ukaisoma simulizi hii na ya tatu yake kule Fasihinet bila kusahau simulizi zangu zingine kwa kutumia coins.
Tafuta simulizi yenye cover iliyo andikwa THE ODYSSEY OF GAVIN LUCA Kisha ukimaliza nenda kasome sehemu yake ya mwisho ambayo imeandikwa THE DARKNESS OF AN ANGEL (SIKU ZA MWISHO)
Unaweza kuingia Fasihinet kwa link hii hapa chini 👇
FasihiNet - Kiswahili Simulizi & Riwaya 📚
Explore captivating simulizi, hadithi, and riwaya in Kiswahili on FasihiNet.www.fasihinet.com
Kwanini?Huko fashnet mimi hapana
🔥Mambo yanazidi kuwa fire
🔥 🔥🔥🔥Mambo ni motoo
Sawa sawaTushaanza kuisahau sasa