kip-korir
Senior Member
- Sep 5, 2023
- 198
- 270
EP hazijarukwa zaidi. Hata hivyo akili ya Singano anaijuwa yeye mwenyewe.Hivi imeendelea au karuka episodes kadhaa
EP hazijarukwa zaidi. Hata hivyo akili ya Singano anaijuwa yeye mwenyewe.Hivi imeendelea au karuka episodes kadhaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hizi Radi za leo usikute Roma kavunja tena ile sheria ya God nini sijui
DahHizi Radi za leo usikute Roma kavunja tena ile sheria ya God nini sijui
Daahh mwamba ana recharge akirudi nguvu zisharud itakuwa maana co kwa hiz radi🙆Kuna ile ilitaka kuchana hadi mbingu huyu Roma anatuletea kizaazaa
Imeisha?
tupe kakipande basi mkuhSeries imefikia tamati huku Kwa group Edina ndiy Athena na amekufa
Edina ni 17Series imefikia tamati huku Kwa group Edina ndiy Athena na amekufa
tunataka story sio uchanbuzi wenu bwana nyie vipiEdina ni 17
kweli mkuuMimi nimefika level ya kuipita dhiki. Singanojr kwa sasa yupo level ya Lanlan ya uchoyo