Simulizi ya kijasusi: GEREZA LA HAZWA

Status
Not open for further replies.

FEBIANI BABUYA

JF-Expert Member
Mar 5, 2022
1,035
1,925
Simulizi hii ilitolewa humu ndani kwa sababu nilisema kwamba nataka kuitolea kitabu hivyo nikaisitisha lakini watu wakaomba thread ifutwe hivyo mods wakaitoa.

Kuna watu ambao wamenicheki pm na WhatsApp na kunisihi niimalize hapa hapa jf na ndicho ambacho nimeamua kukifanya.

Hivyo GEREZA LA HAZWA nairudia tena na nitaipost mpaka itakapo fika mwisho hapa hapa jf. Kama ulipitwa nayo basi karibu sana maana kila siku itakuwa inasomwa hapa.

Soma hapa sehemu za mwanzo na kupata muendelezo
👉 Gereza la Hazwa

Wasalaam
FB_IMG_1684077124370.jpg
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom