Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
- Thread starter
- #81
Sehemu ya 25.
Akamkaribisha, akajiweka kitandani na kunyoosha miguu kama mtu aliyetaka kulala lakini hakupenda kuona shuka likijikunja. Mlango ukafunguliwa na Catherine kuingia.
Mapigo ya moyo wa Gosling yakazidi kudunda kwa nguvu, kila alipomwangalia msichana huyo, alionyesha jinsi alivyokuwa mzuri, alimchanganya na kwa jinsi alivyovaa, ilimuonyesha kabisa hakuwa wa mchezomchezo.
Catherine, changudoa aliyejua kucheza na wanaume alijua kumvutia Gosling, alitembea huku akijifanya kuwa muoga mithili ya mwanamke bikira aliyetembelea chumba cha mwanaume.
Alikuwa akiangalia huku na kule, alijifanya kutokujiamini kabisa kiasi kwamba Gosling akapata moyo wa kujiamini, akainuka na kumsogelea Catherine, alipomfikia tu, akamkumbatia kana kwamba aliwahi kumuona kipindi kirefu nyuma.
“I miss you cute,” (Nimekukumbuka mrembo) alisema Gosling huku akimkumbatia msichana huyo, ili kumfanya Mzungu huyo aone aliokota embe dodo chini ya mpera, Catherine akajifanya kutetemeka mno.
“Than..k you,” (Nash..ukuru) alisema kwa kisauti chake cha kutetemeka.
Wakakaa kitandani na kuanza kuzungumza, muda wote Gosling alipomwangalia Catherine alikiri kukutana na msichana mrembo ambaye hakuwahi kukutana naye maisha yake yote.
Alimwangalia, alipendeza, alinona na pale kitandani alipokaa, mapaja yake yalionekana vizuri kabisa kwa sababu alivalia sketi nyingine fupi iliyoyaacha mapaja kuwa wazi.
“Nakupenda sana,” alitamka neno hilo Gosling kwa mara yasita chumbani humo huku akimwangalia Catherine ambaye bado alijifanya kuogopa kana kwamba alikuwa bikira.
“Nashukuru!” alisema Catherine.
Hawakuingia humo kupiga stori wala kuangaliana, waliingia humo kwa ajili ya kukiliza kitanda tu. Gosling hakutaka kuuliza, hapohapo akamsogelea msichana huyo, akaupeleka mkono wake kwenye paja la Catherine na kuanza kubadilishana mate.
Kama kawaida yake Catherine akajifanya kutokuweza kitu chochote kile, alijifanya kutetemeka kwa woga uliomfanya Gosling kujiamini kuwa yeye ndiye alikuwa masta na ilikuwa ni lazima kumfundisha Catherine namna ya kufanya mapenzi.

....kastory kashununuje, ndio kwanza nipo episode ya 10 ila nshadata nayo