Simulizi toka mahabusu na Samson Mwigamba

Pole sana mkuu naamini kila jambo uja kwa makusudio yake.so yawezekana MUNGU amekusudia jambo fulani katika aya uliyo pitia.pole kamanda
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta lakini believe in this 'Freedom is Coming Tomorrow'
 
"Makamanda nimetoka gereza la Keko jana Alhamisi Desemba 15, 2011 kwa dhamana ya wadhamini wawili waliosaini bond ya shilingi milioni 5 na mdhamini mmoja kuweka rehani hati ya nyumba yake yenye thamani ya shilingi 42 milioni. Kwa sasa naomba tu niseme: "Wameniweka kizuini kwa zaidi ya wiki moja lakini mawazo yangu hawakuyazuia hata kwa dakika moja, wamenilaza kwenye mazingira magumu ya mateso lakini ubongo wangu hawakuugusa, wamedhoofisha mwili wangu kwa kiasi fulani lakini roho yangu ya ujasiri imeimarika maradufu" Samson Mwigamba, Desemba 16, 2011."

" Keko nilipokelewa kishujaa sana. Bahati nzuri niliingia na kombat kama ya kamanda wa anga. JIna langu kule lilikuwa "mwanaharakati". Nilipewa heshima kubwa na naweza kuwahakikishia kwamba nilikula ugali wa magereza siku mbili kwa maana ya siku ya Jumatano nikiwa rumande ya kituo kikuu cha polisi Dar na Alhamisi nilipoingia kwa mara ya kwanza gereza la Keko. Na siku hiyo ndo nililala 'mchongoma'. Kuanzia kesho yake Ijumaa ndo makamanda wengi zaidi wakagundua kwamba niko mle. KLewanza ambaye sitamsahau ni rafiki yake Nanyaro ambaye walifanya na Nanyaro kazi pale Leopard tours anaitwa Wilson William ambaye amekaa ndani ya gereza hilo akiwa mahabusu tangu mwaka 2008 hadi leo na nimemwacha na kesi haijaanza kusikilizwa. Yeye ndiye alinifanyia mpango kwa kijana ambaye ni kiongozi wa cell moja na ambaye alikuwa akigombea udiwani huko Ukonga wenzake wa CCM walipoona atashinda wakampa kesi ya wizi wa kutumia silaha. Yuko humo tokea Julai mwaka jana na kesi haijaanza kusikilizwa. Huyo kijana akanipangia mahali pa kulala kwa unafuu kidogo ambapo alinipa kigodoro changu peke yangu cha kama futi mbili hivi. Kuanzia hiyo Ijumaa nilikuwa nikiitwa na makundi mbalimbali kula kwao tokea chai hadi lunch ambapo tulikuwa tunakula wali wanaoletewa na ndugu zao. Ingawa gerezani ratiba ni kula mara moja kwa siku kwenye saa 9 mchana na uchi kiduchu asubuhi saa moja, lakini mimi nilikuwa nakula milo mitatu. Maana walikuwa wakitunza chakula na usiku tukiwa ndani ya cell wananiita nakula nao. Mengi zaidi nitayasimulia kupitia makala zangu. Msikose."
inasikitisha sana
 
Human rights are at stake here.Mind you,these are not gifts from the state but entitlement by virtue of our being humans!

But then when u have inept,crazy and pipo whoz credibility&integrity is at issue at the justice administration machinery, this is foreseable..

Justice itself is an abstract idea but real too..you can‘t be boasting of a government which upholds human rights when your state organs encroach the same..it is hypocrisy and lack of gratitude for the people who‘ve placed you to power..
And i see no other government befitting this description/tag any better..than that of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar!
 
Hawa watu wa serikali wangetaka jela iendelee kuogopwa, wangekwepa kupelaka watu kama hawa.....

Kwa vile sikio la kufa halisikii dawa, wasubiri siku wafungwa wanatakapo-join kwenye people's power....!!
 
Pole sana afande WA kweli, nawapongeza kukukamata wametangaza mara10000 habar yako! Yaan siku zote saut inayozibwa ndoo huwa na kishndo!
 
Sam,
pole sana. Kutaka haki kuna gharama yake. Tunakupongeza kwa ujasiri wako kuandika ile makala kwa askari wa mkoloni ccm ili wabadilike wawe askari wa Tanzania.
Vipi hakukuwa na mwitikio chanya kwa askari uliokutana nao? Je, hakuna ambao hata kwa kificho waliside na wewe?
Binafsi ningetaka Watz tusambaziane ile waraka ili iwe chachu ya kuwabadilisha askari wetu kutoka utumwa wa ccm kuwa wazalendo wa nchi.
 
mwigamba ni nani, sio wote tunamjua.

Ni mwenyekiti wa CDM mkoa wa Arusha, na ni mwandishi wa habari gazeti la Tanzania daima. Alishitakiwa kwa kuandika makala iliyowataka askari kuwa wazalendo, na makala hiyo imewekwa humu JF. Imeeleweka?
 
"Makamanda nimetoka gereza la Keko jana Alhamisi Desemba 15, 2011 kwa dhamana ya wadhamini wawili waliosaini bond ya shilingi milioni 5 na mdhamini mmoja kuweka rehani hati ya nyumba yake yenye thamani ya shilingi 42 milioni. Kwa sasa naomba tu niseme: "Wameniweka kizuini kwa zaidi ya wiki moja lakini mawazo yangu hawakuyazuia hata kwa dakika moja, wamenilaza kwenye mazingira magumu ya mateso lakini ubongo wangu hawakuugusa, wamedhoofisha mwili wangu kwa kiasi fulani lakini roho yangu ya ujasiri imeimarika maradufu" Samson Mwigamba, Desemba 16, 2011."

" Keko nilipokelewa kishujaa sana. Bahati nzuri niliingia na kombat kama ya kamanda wa anga. JIna langu kule lilikuwa "mwanaharakati". Nilipewa heshima kubwa na naweza kuwahakikishia kwamba nilikula ugali wa magereza siku mbili kwa maana ya siku ya Jumatano nikiwa rumande ya kituo kikuu cha polisi Dar na Alhamisi nilipoingia kwa mara ya kwanza gereza la Keko. Na siku hiyo ndo nililala 'mchongoma'. Kuanzia kesho yake Ijumaa ndo makamanda wengi zaidi wakagundua kwamba niko mle. KLewanza ambaye sitamsahau ni rafiki yake Nanyaro ambaye walifanya na Nanyaro kazi pale Leopard tours anaitwa Wilson William ambaye amekaa ndani ya gereza hilo akiwa mahabusu tangu mwaka 2008 hadi leo na nimemwacha na kesi haijaanza kusikilizwa. Yeye ndiye alinifanyia mpango kwa kijana ambaye ni kiongozi wa cell moja na ambaye alikuwa akigombea udiwani huko Ukonga wenzake wa CCM walipoona atashinda wakampa kesi ya wizi wa kutumia silaha. Yuko humo tokea Julai mwaka jana na kesi haijaanza kusikilizwa. Huyo kijana akanipangia mahali pa kulala kwa unafuu kidogo ambapo alinipa kigodoro changu peke yangu cha kama futi mbili hivi. Kuanzia hiyo Ijumaa nilikuwa nikiitwa na makundi mbalimbali kula kwao tokea chai hadi lunch ambapo tulikuwa tunakula wali wanaoletewa na ndugu zao. Ingawa gerezani ratiba ni kula mara moja kwa siku kwenye saa 9 mchana na uchi kiduchu asubuhi saa moja, lakini mimi nilikuwa nakula milo mitatu. Maana walikuwa wakitunza chakula na usiku tukiwa ndani ya cell wananiita nakula nao. Mengi zaidi nitayasimulia kupitia makala zangu. Msikose."

Muda wa ukombozi umefika Mwenyekiti wangu. Tambua ulipelekwa hapo kwa mipango na makusudi ya Mungu ili tunapokwenda kuichukua nchi ujue mahali pa kuanzia maana hakuna anayeyajua uliyoyaoona huko zaidi yako , Ee Mwenyenzi Mungu uyaone haya mateso ya watoto wako yanayofanywa na hawa maadui zako ccm.
 
acha hasira mkuu utapasuka. Sijakuuliza wewe unaanza kuropoka.

Si tunajua tabia yako ya kikameroon. Umekumbuka asili hivyo unatamani ungekuwa wewe ungefurahi maana ungefanyiwa huo mchezo kwa style ya gay gangbang
 
Yaani ulichokiona uko ni huo mlo wa kutwa mara 3?

Kama huna la maana kuchangia siyo lazima kuuliza swali la kijinga, ina maana wewe ktk maelezo yote umesoma milo mitatu tu? Mbona wote hilo hatujaliona la msingi? Wachumia tumbo kama wewe utawajua tu maana mawazo yao yote ni ubwabwa.
 
Mwigamba pole sana .Nimesikitika na nazidi kusikitika but nakueleza kwamba baada ya unyama wa Zombe enzi hizo leo akirudi kazini hataweza kuwaatupa watu jela kama alivyo zoea siku za nyuma maana anajua moto wake.Watesi wako watateswa pia is matter of time .Naikumbuka Keko Hezron Kigondo alikuwa OC CID Temeke kwa makusudi aliamua kuniangamiza baada ya kukosa rushwa ya kumpa lakini haki ni haki alishindwa kabisa .Leo Kigondo naye anaitwa mtumishi bor jeshi la polisi .

Mwigamba is matter of time Justice will prevail .
 
Pole sana mkuu Mungu ataangaza mahali pako na utatoka salama,pia yule Kamanda mwingine alosingiziwa kesi wakati ccm waliona atashinda Udiwani Ukonga its better viongozi CDM ngazi ya juu fuatilieni hili swala kwa ukaribu ili kuwapa Moyo zaidi wapiganaji wengine kujitoa kwa dhati kwani imeniuma sana baada ya kusoma alichofanyiwa jamaa,Mungu atawalinda Makamanda
 
Back
Top Bottom