SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Hao wazee wake soraya wepesi sana kuhadaika.
 
Simulizi nzima, ambaye kashikilia misimamo ni Talib, yaani bange inavutwa haswa.
Baba Soraya ndie haeleweki kabisaa
 
UWE SASA UNAJISOMEA SOMEA ILI UWEZE KUTUNGA HADITHI ZA WATU WENYE AKILI. HIZI UNATUNGA ZA KUSOMA MABEKI TATU NA VILAZA WENGINEO.
 
UWE SASA UNAJISOMEA SOMEA ILI UWEZE KUTUNGA HADITHI ZA WATU WENYE AKILI. HIZI UNATUNGA ZA KUSOMA MABEKI TATU NA VILAZA WENGINEO.
Hii ndo inaitwa nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiaje! ukiona shughuri haikuhusu busara ni kupita tu kimya kimya, zaidi ya hapo naona hapa umekuja kujichoresha ili upate umaarufu ambao hauna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…