adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,957
- 6,157
Impact ya Mabudi ni kubwa sana.
Mama Hilda anakuja kwangu kutulizwa na Dyudyu...😀😀😀
Mama Hilda anakuja kwangu kutulizwa na Dyudyu...😀😀😀
hiyo familia imelaaniwaImpact ya Mabudi ni kubwa sana.
Mama Hilda anakuja kwangu kutulizwa na Dyudyu...😀😀😀
Watu wa hivyo wapo kila pahalaahiyo familia imelaaniwa
ndio vichakani mbona haina utamuWatu wa hivyo wapo kila pahalaa
🤣🤣🤣mwisho wang'atwe na siafundio vichakani mbona haina utamu
hiyo ni mpk night kaaliiMkuu cha jioni basi
si umeona mama Hilda amepigwa teke la kitumbuani🤣🤣🤣mwisho wang'atwe na siafu
Alf kilikua hakijapona vizur maumivu ya kwa babu mabudi🤣🤣🤣si umeona mama Hilda amepigwa teke la kitumbuani
Sema hii haifeli. eti zinaambizana TUMEWABAMBAHahhahahaha sisi timu talib tuna waangalia tu......tunasubili ifike saa 5 usiku tukajibebee mapesa
Hii ndo inafel vibaya, maana Idd anaenda kukamatiwa kwa mzee Mahamoud kitawashuka wazee wa baraza na Mahadhi waoSema hii haifeli. eti zinaambizana TUMEWABAMBA
Alf kilikua hakijapona vizur maumivu ya kwa babu mabudi
Na iddi lawama zote atamtupia talibHii ndo inafel vibaya, maana Idd anaenda kukamatiwa kwa mzee Mahamoud kitawashuka wazee wa baraza na Mahadhi wao
SEMA HATUFELI NA SHEMEJI POLISI WENUteam Twalib & Idd nawasalimu, safari yenu ya Msumbiji imeisha, tushamshirikisha Shemeji polisi kazi mnayo
alitumwa? subiri waingie kwenye mfumo wakutane na shemeji polisiNa iddi lawama zote atamtupia talib
Kumbe bado hamuelewi kuwa hii haina kufeliMbona tayari wamewabamba, wamewabamba, yaani tokea talib aungane na huyo jamaa mwenye mbinu za kizamani, nikajua apa kufeli hakupo mbali.
Huku Higgno kunfuu mastaa, huku shemeji polisi vibaka lazima mteme bungoSEMA HATUFELI NA SHEMEJI POLISI WENU