Simulizi: Penzi lisilo Na Mwisho

Simulizi: Penzi lisilo Na Mwisho

Naam subira ni muhimu lakini subira isiwe ndefu kupita kiasi especially when you see the writing on the wall, THIS RELATIONSHIP IS OVER.

Kumpuuza inakuwa ngumu kwa sabab tayari nyie ni wapenzi ama mmekuwa mwili mmoja , unabaki na subira labda labda atabadilika, lkn wakati huo unaumia
 
Hilo naelewa kabisa Shunie, lakini upofu inafika mahali ni lazima ukome hasa kama kuna dharau na kudhalilishwa. Mtu mwenye mapenzi ya kweli na anayetaka kuendelea na penzi hata siku moja hawezi kukudharau au kukudhalilisha na akitokea kufanya hivyo na akafahamishwa basi huomba samahani. Vinginevyo hakuna penzi hapo.

Kosa ni la kupenda ujue mapenzi ni upofu
 
Naam subira ni muhimu lakini subira isiwe ndefu kupita kiasi especially when you see the writing on the wall, THIS RELATIONSHIP IS OVER.
Unajua nn BAK, wakati mwingine unawaza tu je nkimuacha huyu nitapata aliye sahihi???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo nalo ni neno. Zimwi likujualo siyo? Si bora kuumiya moyo baada ya muda utapona na kubaki kumbukumbu kuliko kuvumilia radhau na manyanyaso? Ila mapenzi yanaumiza sana.

Unajua nn BAK, wakati mwingine unawaza tu je nkimuacha huyu nitapata aliye sahihi???
 
Sehemu ya 08

Kila alipomwangalia mwanaume yule, alimkumbuka, alikuwa yuleyule wa usiku uliopita ambaye alikuwa akiwakimbiza mapacha wale, Ahmed na Mohammed.

Kitu cha kwanza kabisa kilikuwa ni kuwaangalia mapacha wale, je, walikuwa wamejeruhiwa? Alipowaangalia, walikuwa salama kabisa tena wote nyuso zao zilitawaliwa na tabasamu pana.

Hakuelewa ni kitu gani kilichokuwa kikiendelea, moyo wake uliogopa mno, hakumwamini mwanaume huyo ambaye alikaa nyuma ya usukani huku uso wake ukiwa kwenye tabasamu pana, kichwa chake kikawa na maswali mengi, tena yote hayo yalikosa majibu.

“Wewe ni nani?” aliuliza Aisha.
“Naitwa Razak....unanikumbuka?” aliuliza Razak.

“Ndiyo! Si yule wa usiku uliyekuwa ukiwakimbiza hawa baada ya kukuibia taa za gari?” aliuliza Aisha swali lililowashtua mapacha wale, wakatamani kuteremka, wakahisi kwamba mtu huyo alikuja kuwakamata.

“Naomba nikaendelee na shughuli zangu jamani...” alisema Mohammed huku akitaka kuteremka.

Je nini kitaendelea....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom