Shunie ningekuwa na uwezo ningechora namba ya cristiano ronaldo(7) kwenye mgongo wako hapo kwenye avatar yako sababu hadhithi zako ni za kusisimua sana..alafu wewe si kama wale wahuni ambao hawamalizi simulizi wanaishia njiani
Honngera sana mama uko vzr
Niko naendelea na sikulizi ya @ mkufu wa malkia wa goshen..nikiupata huo mkufu nakuletea kama zawadi