Wivu lazima bwana [emoji1787][emoji1787] napigana na ninapigwa
Yeye anaruk coz hakuwa na mwanamke maalumu.apo yupo sawa kabisaSafi sana... Ngoja tuone...
Ila John... mkuki kwa nguruwe... yeye anarukaruka, ila kurukwa kidogo ana mind...
Cc: mahondaw
Hahahaha ila nayeye angekuwa anaweka hata vilike kukutia moyo dada muandishi...Mimi bila kuweka like najiona Kama sijasomaHahahahahaha kumbe tupo wengi bwana hatulioni hili
AhsanteHahahaha yna wala hausiki kabisa jamani nahusika mwenyewe
Kibonge mwenzangu thread inasomwa na watu wengi hii wanaolikes watano tu nyie nyie wa kila siku mnajijuaHahahaha ila nayeye angekuwa anaweka hata vilike kukutia moyo dada muandishi...Mimi bila kuweka like najiona Kama sijasoma