Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,914
- 193,829
Wivu lazima bwana [emoji1787][emoji1787] napigana na ninapigwa
Hahaha... Mara ya mwisho kupigana na ukapigwa ilikua lini?? Hahaha...
Next time ukipugana na kupigwa weka picha tuone...
Yeah wivu upo ofcoz ila siyo ule wa ngumi mkononi... Tatizo muda wa ugomvi unakosekana...
Cc: mahondaw