Simulizi: Mke Wangu Juliana

Simulizi: Mke Wangu Juliana

Kibonge mwenzangu thread inasomwa na watu wengi hii wanaolikes watano tu nyie nyie wa kila siku mnajijua

Hao ghost followers wanaibuka kukiwa na arosto na kelele zao
Hehehehehe..tukaushie Kama mwezi hivi uone ghost followers watakavyokuTag na malalamiko.
 
Yaani followers wangu waaminifu kama nawaona mtakavyoteseka
Binafsi nitateseka haswaa...maana Kuna wakati naingia humu hate sielewi..najikutaga kurudiarudia niliyoyasoma..sasa huo mwezi mzima si utaninyanyasa kiakili kibonge mwenzangu...usifanye ivyo
 
Binafsi nitateseka haswaa...maana Kuna wakati naingia humu hate sielewi..najikutaga kurudiarudia niliyoyasoma..sasa huo mwezi mzima si utaninyanyasa kiakili kibonge mwenzangu...usifanye ivyo
Umeongea kwa huruma kibonge mwenzangu mpaka nimejisikia vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom