Hatimaye nimemaliza dah sio poa, kwa hiyo ndo kusema kumtafuna kote kule miryam mpaka mifupa awe dada ako hapo haiwezakani kabisa tumekataa ndoa tunayo na tunatamba nayo.
Ninawaza tu baba yao Miryam na Joshua asije akawa mzee Frank Mayanza🤣🤣 kama nawaona Jasmin na JC wanavyorudi kwao Mbagala na Miryam na Joshua kuhamia Gobaaa😆